PantaleoGregory58
Senior Member
- Nov 2, 2014
- 107
- 25
ukimwi watu hawaogopi tena
Ni kweli escrow inatisha zaidi ya ukimwi
ukimwi watu hawaogopi tena
Ni kweli escrow inatisha zaidi ya ukimwi
Lakini mabinti pia ni sehemu ya tatizo,niliwahi toka na dada mmoja mrembo mno.akanambia hawezi tumia condom inamuumiza k yake ni ndogo,nikamlazimisha tukapime,hilo lilifanyika tukainjoi sana.sasa mtu kama huyu angekutana na jitu lisilojali ingekuweje

B ila kondom inataka moyo... Labda ukute mchepuko hauna mvuto sana... Ila kama unavutia... mmmmmmh!!! Mungu tu ndo anawalinda waja wake?
B jana ulitumia kwani...???
Ni kweli.. b .. jana sikumbuki kama ulivaaa
Nimekumbuka B wangu... Nilivaa tena ulinivisha wewe mwenyewe corrrrrrreeectly kabisa!!!!! B na we una kaexpiriensi!!
Hahahaha namkumbuka mwanang 1 anakuambia hafanyi dhambi mara 2 hawez kuzini na kuua mtoto kwwnye kondom
kwani b ulikuta sijafunguliwa
teh teh teh..... B na we una vituko... Nilikuta tayari mlango u wazi.. Ila haukufunguliwa wote.. So na mwili wangu huu, ilikuwa shida kuingia mzima mzima.. Lakini nashukuru sababu ulikuwa unajiburuza chini, ila kwa sasa tushaurekebisha.. Ni kupita tu!!!!!!:msela:
Wakati mwingine kuvaa sio shida ila matumizi ni shida.Mara yingi sana condom hupasuka pia.Watu wengi wanakumbana na upasukaji wa condom