Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,731
Umeshawahi kupiga stori na washikaji wako hukusu jinsi alivyotoka na flan? Atakuhadithia mambo yote pamoja na kunogesha story, lakini kuna scene moja ya kuvaa kinga huwa hawaitaji. Unakuta anakwambia kwamba alilala nyumbani kwa mdada lakini katika movie yake huoni ni wapi alifanya jitihadi za kutumia kinga.
Hii ni hatari. Kutoambukizwa magonjwa ya zinaa kwa vijana wengi ni matokeo ya kutembea na mtu negative, maana ukisikiliza stori zao, huoni kama kuna mahali walichukua precaution ya kujikinga!
Hii ni hatari. Kutoambukizwa magonjwa ya zinaa kwa vijana wengi ni matokeo ya kutembea na mtu negative, maana ukisikiliza stori zao, huoni kama kuna mahali walichukua precaution ya kujikinga!