Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,067
- 700
wadau Hiki kitu nimekuwa nacho moyoni nadhani huu ni mwaka watatu sasa, Kwa tulio wengi tunajua Malengo ya kuanzishwa kwa SOKOINE UNIVERSTY - MOROGORO ni nchi iwe na wataalamu wakutosha wakilimo, ni wazo jema kabisa, ila kilichonishangaza ni hao wasomi wa chuo hicho kuanzisha televison( SUA TV) nadhani ni Tv ya kwanza kumilikiwa na chuo kikuu hapa Tanzania, moyoni najiuliza ni kwa nini wasingeanzisha kiwanda cha maziwa na nyama?????naamini pesa mlizotumia kuanzishia hiyo TV zingetosha sana tu kwa hilo lengo, mtajitetea na kusema ni pesa za wafadhili na jiuliza mlishindwaje kuwa na hilo wazo kama mlitaka kuonekana SEREKALI si ina TV yake ambayo mgeingia nao mkataba wawe wanaonyesha mambo mliyokuwa mnataka jamii iyaone??? Hamkuona kiwanda cha maziwa hata bna baadae cha nyama kingekuwa na manufaa zaidi kiliko hiyo TV??naamini nyie ndo mlikuwa watu wa kwanza kuwa na mashamba ya mfano na hicho kiwanda ambacho naamini hakingewagarimu pesa nyingi kihivyo kuliko hiyo TV.Mbona wakenya wameweza? Chuo kikuu cha Egerton ni chuo cha kilimo kama nyie wameweza kuanzisha shamba la ngome na wana kiwanda cha maziwa ambacho kinatumika kama sehemu ya wanafunzi kujifunzia na maziwa yao wanayauza miji mbalimbali kya kenya kwa kupitia mawakala.
Wananzuoni wa SUA badilikeni,hata hiyo TV yenu haionekani maeneo yote ya morogoro mgekuwa mnatuzalishia maziwa naamini yangesambaa karibu TZ yote na kutoa fursa kwa wanafunzi kujifunza
Wadau nawakilisha??????
duuuu kaka nakupa senks,una mawazo ya mbali sana,
Tusiwalaumu sana wanazuoni wa hapo SUA, hii ni system ambayo imeharibika kuanzia kwa viongozi wa juu!wadau Hiki kitu nimekuwa nacho moyoni nadhani huu ni mwaka watatu sasa, Kwa tulio wengi tunajua Malengo ya kuanzishwa kwa SOKOINE UNIVERSTY - MOROGORO ni nchi iwe na wataalamu wakutosha wakilimo, ni wazo jema kabisa, ila kilichonishangaza ni hao wasomi wa chuo hicho kuanzisha televison( SUA TV) nadhani ni Tv ya kwanza kumilikiwa na chuo kikuu hapa Tanzania, moyoni najiuliza ni kwa nini wasingeanzisha kiwanda cha maziwa na nyama?????naamini pesa mlizotumia kuanzishia hiyo TV zingetosha sana tu kwa hilo lengo, mtajitetea na kusema ni pesa za wafadhili na jiuliza mlishindwaje kuwa na hilo wazo kama mlitaka kuonekana SEREKALI si ina TV yake ambayo mgeingia nao mkataba wawe wanaonyesha mambo mliyokuwa mnataka jamii iyaone??? Hamkuona kiwanda cha maziwa hata bna baadae cha nyama kingekuwa na manufaa zaidi kiliko hiyo TV??naamini nyie ndo mlikuwa watu wa kwanza kuwa na mashamba ya mfano na hicho kiwanda ambacho naamini hakingewagarimu pesa nyingi kihivyo kuliko hiyo TV.Mbona wakenya wameweza? Chuo kikuu cha Egerton ni chuo cha kilimo kama nyie wameweza kuanzisha shamba la ngome na wana kiwanda cha maziwa ambacho kinatumika kama sehemu ya wanafunzi kujifunzia na maziwa yao wanayauza miji mbalimbali kya kenya kwa kupitia mawakala.
Wananzuoni wa SUA badilikeni,hata hiyo TV yenu haionekani maeneo yote ya morogoro mgekuwa mnatuzalishia maziwa naamini yangesambaa karibu TZ yote na kutoa fursa kwa wanafunzi kujifunza
Wadau nawakilisha??????
Nafikiri aliyeandika hiii thread hafahamu nini maana ya chuo kikuu. kazi ya chuo kikuu ni kufundisha, kutafiti na kutoa ushauri wa kitaalamu, chuo hakiwezi kuanzisha kiwanda ila kama unasema demonstration unit sawa. Nafikiri na mazumuni ya kuanzisha TV ni kuweza kuiwasilisha elimu hiyo kwa wananchi kupitia program mbalimbali wanazozitegemea. Nafikiri unajua tatizo la usambazaji wa technology kwenda kwa wananchi ulivyo mgumu na unahitaji pesa nyingi kwa hiyo kwa kutumia hivyo vipindi wanaweza kuelimika sana na kutumia hiyo elimu kwa maendeleo yao.

sio SUA pekee yenye tv, kwani hujasikia mlimani TV
mkuu uko sahihi 100%, ndo maana watanzania wengi tunafeli mambo mengi,vitu tunavyosoma atuvi-implement kwenye maisha yetu,tunaviacha kwenye vitunzia kumbukumbu tu, tungekua na timu ya ma-thinker kama nyie, nchi hii ingekua mbali sana
Wakuu,
Mi sidhani kama ni vibaya kwa SUA kuwa na televisheni yake...inatumika kueneza ujuzi mpya wa kilimo kwa hao hao wachache inaowafikia.
Na sidhani kama ni sahihi kwa SUA kuwa na kiwanda cha maziwa. Ninavyojua pale wanafuga Ng'ombe wa mfano kwa ajili ya maziwa (naamini na mbuzi na kondoo pia wapo) na ni kazi ya watanzania wengine kuanzisha hivyo viwanda vya maziwa na mashamba ya mfano kwa kutumia utaalam wa pale SUA!
wadau Hiki kitu nimekuwa nacho moyoni nadhani huu ni mwaka watatu sasa, Kwa tulio wengi tunajua Malengo ya kuanzishwa kwa SOKOINE UNIVERSTY - MOROGORO ni nchi iwe na wataalamu wakutosha wakilimo, ni wazo jema kabisa, ila kilichonishangaza ni hao wasomi wa chuo hicho kuanzisha televison( SUA TV) nadhani ni Tv ya kwanza kumilikiwa na chuo kikuu hapa Tanzania, moyoni najiuliza ni kwa nini wasingeanzisha kiwanda cha maziwa na nyama?????naamini pesa mlizotumia kuanzishia hiyo TV zingetosha sana tu kwa hilo lengo, mtajitetea na kusema ni pesa za wafadhili na jiuliza mlishindwaje kuwa na hilo wazo kama mlitaka kuonekana SEREKALI si ina TV yake ambayo mgeingia nao mkataba wawe wanaonyesha mambo mliyokuwa mnataka jamii iyaone??? Hamkuona kiwanda cha maziwa hata bna baadae cha nyama kingekuwa na manufaa zaidi kiliko hiyo TV??naamini nyie ndo mlikuwa watu wa kwanza kuwa na mashamba ya mfano na hicho kiwanda ambacho naamini hakingewagarimu pesa nyingi kihivyo kuliko hiyo TV.Mbona wakenya wameweza? Chuo kikuu cha Egerton ni chuo cha kilimo kama nyie wameweza kuanzisha shamba la ngome na wana kiwanda cha maziwa ambacho kinatumika kama sehemu ya wanafunzi kujifunzia na maziwa yao wanayauza miji mbalimbali kya kenya kwa kupitia mawakala.
Wananzuoni wa SUA badilikeni,hata hiyo TV yenu haionekani maeneo yote ya morogoro mgekuwa mnatuzalishia maziwa naamini yangesambaa karibu TZ yote na kutoa fursa kwa wanafunzi kujifunza
Wadau nawakilisha??????
Lyangalo sijakurupuka nilipoandika, na ninauelewa mzuri saana wa maana ya chuo kikuu, UDS wana TV. Radio na Gazeti, ambayo vyote vinatumika kama sehemu ya wanafunzi kujifunzia kwa vitendo na biashara ili viweze kujiendesha,Chuo Kikuu cha Egerto kenya wanachamba kubwa la ngombe na kiwanda cha kuprocess maziwa, Kiwanda cha maziwa hakihitaji technologia kubwa saana na wala mtaji wake sio mkubwa kama wa kuanzisha TV,Vyuo vikuu vinanvyofundisha masomo ya Tourism na Hospitality wana Hotel ambazo zinaendeshwa kibiashara na zinatumika kama sehemu ya wanafunzi ya kujifunzia sasa nini cha ajabu SUA kuwa na kiwand acha mzaziwa??????
Kaizer, kwa wanafunzi wakitanzania kinachotakiwa ni elimu ya vitendo,n dicho kitakachotuokoa na ushindani wa EAC, hilo halina ubishi kumbuka tuna TBC ambayo wangeweza kuitumia ikawafikia watanzania wote, mawazo yangu ni chuo kuwa na miradi ambayo inakuwa na manufaa mojakwamoja kwa wanafunzi na chuo kwa ujumla, kuwa na mashamba ya mifugo na kiwand aau viwand avya kutengeneza mazao yake ni jambo la msingi, hao watanzania wengine unaowazungumzia ni wakina nani cha na hiyo elimu wataipata wapi? Tatizo wanafunzi wanfundishwa kwa nadharia tu ulimwengu wa sasa kinachotakiwa ni vitendo, Mbona egerton wamefanikiwa wankiwanda na shamba kubwa la mifugo na wanaofanya kazi kubwa hapo kiwandani ni wanafunzi, wanapomaliza wengi wemeweza kurudi vijijini mwao wakiwa na ujuzi wa kutosha,
Lete mada za maana mkubwa hivi kipi cha muhimu kuwa na kiwanda cha nyama na maziwa au TV inayosambaza matokeo ya tafiti na kutoa elimu kwa wakulima Chuo kikuu si sehemu ya kufanya biashara practical wanafunzi wanaweza kwenda kwenye viwanda husika ambavyo si lazima vimilikiwe na chuo na ndo maana kuna study tours. pia kwa taarifa ni kwamba mashine za kukamua na kusindika maziwa zipo hapo department of animal science nafikiri kusambaza elimu ya kilimo ni bora zaidi ya kufanya biashara