chishango
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 852
- 350
SUA TV kwa covarege ipi hata morogoro yote haionekani, its better if you can THINK BIG, ni tafiti zipi ambazo zimeshawahi tangazwa na hiyo TV, je mwananchi wa kigoma anaweza faidika vipi na hiyo TV, Unatakiwa uwe na mtazamo chanya kwani kama hizo mshine zipo department animal science are they utilized effectively??? watanzania tulio wengi tunapoambiwa ukweli huwaga tuankuwa wabishi kukubali na kuelewa, nayaongea haya ili wakenya na Waganda watakaporuhuiswa waje kwenye soko la ajira la TZ naamini waathirika wakwanza watakuwa na wanafunzi wa SUA hilo halina ubishi
unajidanganya mkubwa hakuna mhitimu wa SUA atakaeathirika tusubiri tuone mashine zipo kwa ajili ya masomo kwa vitendo kama unaona biashara ya maziwa na nyama inalipa ni bora ukawekeza wewe suala la coverage lisikusumbue kwani hata ikionekana katika tarafa moja inatosha hata hiyo TBC haionekani kote siwezi pia kukulazimisha kuwa kuamini kuwa kuna tafiti ambazo matokeo yake yanasambazwa kupitia SUA TV kwa sababu inaonekana hujataka kutafuta ukweli wa hili kabla hujapost nakushauri tembelea hapo SUA tv ukapate ukweli