Ni halali kwa mtuhumiwa ama muhalifu kuhojiwa mbele ya waandishi wa habari

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,298
Ikitokea mtu amefanya kosa au anatuhumiwa kwa kosa fulani,JE SHERIA INARUHUSU MTU HUYO KUHOJIWA AU KUULIZWA CHOCHOTE KUTOKA KWA POLISI AKIWA MBELE YA KAMERA NA VINASA SAUTI VYA WAANDISHI WA HABARI ?
SHERIA INALINDAJE HAKI YA MTU KUJITETEA AKIWA MBELE YA KAMERA ?
NA VIPI POLISI ANARUHUSIWA KUMUHOJI MTU AKIRI KOSA MBELE YA KAMERA ZA WAANDISHI WA HABARI ?
naomba kufahamu.
 
Inategemea na wewe mtuhumiwa unamsimamo gani ..ukiamua kufa kibudu unakufa kibudu tu unauwezo wakugoma kuongea ...ukasema kama mnaniuwa niuweni tu nikazikwe.
 
Dah sio vizuri ila kama mtuhumiwa atakua amekukosea wewe muandika hoja utapenda ila ukihojiwa wewe utachukia
 
Cha msingi hapo ni kukana ushahidi huo mahakamani kuwa haukuwa WA huru ulikuwa WA vitisho kwa hio hayakuwa maelezo yangu Bali nililazimishwa hususani kwenye homicide case mahakama it's conduct trial within trial ili kujilidhisha na kuna watu wanaopokea confession police na magistrate ama judge person in authority chief justice sio waandishi wa habari
 
Nafurahia uwepo wako hapa Jf Mungu Akubariki.
 
Back
Top Bottom