Come with proofs rafiki! We need factsKwani wapi wameandikwa kwamba walikwa race moja? Huenda race yao hazipo katika dunia ya sasa ila hizi zilizopo ni matokeo ya muungano wa hizo race mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaamini ulitokana na nyani??? So, Adamu na Eva walikuwa nyani?Mkuu....1 different races tunaambiwa Ni mabadiliko kulingana na mazingira.
Kama tunavyoamini kwenye history.....
Nyani to man.
2.. Musa aliandika vitabu vyake kwa uwezo Wa Mungu....haikiwa akili yake
Mkuu nije na proof gani tena wakati biblia ndio inasema binadamu wa kwanza alikuwa Adam na baadae akaletewa Eva? Mimi naiamini biblia kwa asilimia mia moja ndio, kama wewe huiamini hilo ni tatizo lako binafsi nimeleta assumptions ambazo zinaweza kuwa zinajibu hayo maswali yako.
Ok, ukitumia Biblia as your total source of belief, then ushajilimit kutoka nje ya box. Kumbuka asilimia kubwa ya watu wapatao 7B in the world hawatumii Biblia, so limiting yo brain unajidogoisha!Mkuu nije na proof gani tena wakati biblia ndio inasema binadamu wa kwanza alikuwa Adam na baadae akaletewa Eva? Mimi naiamini biblia kwa asilimia mia moja ndio, kama wewe huiamini hilo ni tatizo lako binafsi nimeleta assumptions ambazo zinaweza kuwa zinajibu hayo maswali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Article yako ni nzuri.....ila tuombe radhi waislamu umetukosea quran haija chukua kitabu cha kishirikina mule kuna aya inayo elezea kuumbwa kwa majini tu quran imechukua muunganiko wa injili, torati, zaburi na quran yenyewe.....ila hiyo article wakisoma wasio taka kujua ukweli wanakimbilia kusema waislamu wanafuga majini......so please apologies for what u did.Habari!
Katika masimulizi ya Biblia tunaona kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni Adamu na Eva. Tena tunaambiwa kuwa, hawa ndio wazazi halisi wa binadamu wote duniani. Quraan nayo kwa upande wa waislamu ikaja na masimulizi kama hayo baada ya kukopi elimu hii toka kwa Biblia japo ilibadili mlengo wa baadhi ya masimulizi hayo (NB Quraan iliandikwa toka masimulizi ya Biblia, vitabu vya dini ya kiyahudi ndipo wakaja na elimu za kutawadha, adhanaa nk, vitabu vya washirikina ndipo walipoitoa elimu ya majini na mapepo na pia masimulizi ya Mtume).
Habari hii ya Adamu na Eva si hadithi ya kweli, bali lugha ya picha. Rabi mmoja anadhihirisha kuwa Dunia ilikuwa na binadamu wengine ambao wa kiume waliitwa Adamu na wanawake wengine waliitwa Eva. Ushahidi wa rangi tofauti na races tofauti ni kidhibitisho tosha kuwa si binadamu wote tuna mzazi mmoja. Mfano mzungu na mzungu kamwe hawatazaa mwafrica na wala mwafrika na mwafrica hawatazaa mchina. Je, nini kilitokea kwa Adam na Eva hata wakazaa mhindi au mtamil au mwafrica???
Vitabu vya dini kubwa mfano za kihindu, kibudha au kichina zina masimulizi tofauti ya asili ya binadamu. Vile vile, sayansi bado inatafuta asili halisi ya binadamu.
Vitabu vya dini vimetumia masimulizi ya mkato, yasiyotoa uhakika na yasiyotaka kuhojiwa juu ya asili ya uhai na ukihoji utaishia kuambiwa unakufuru!!!
Kwa mantiki hiyo, masimulizi na visa vya asili ya binadamu ni hadithi za kutunga na kuaminisha umma. Kumbuka anayeqdhaniwa kuwa mwandishi mwandishi wa kitabu cha Genesis ni Moses ambaye alipata elimu yake pale Misri kwenye kasri la Farao! Tukumbuke kuwa tayari waisrael walikuwa wamekwisha kuishi miaka zaidi ya 400 Misri.
Je, nani alimpa elimu au simulizi la uumbaji Moses???
"...Waliandika kitu ambacho walipenda tukisome tu, mengine walificha kwa malengo yao"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatumii biblia because they don't give a f*** about their spiritual life, knowledge ya kawaida nitaipata kwenye vitabu husika lakini elimu ya Kiroho my Bible is the main source of knowledge, nikisoma vitabu vingine vya elimu ya kiroho ni kama nyongeza tu na kuongezea kile nilichokwisha kujifunza na si kupingana na kile kilichopo kwenye bibliaOk, ukitumia Biblia as your total source of belief, then ushajilimit kutoka nje ya box. Kumbuka asilimia kubwa ya watu wapatao 7B in the world hawatumii Biblia, so limiting yo brain unajidogoisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatumii biblia because they don't give a f*** about their spiritual life, knowledge ya kawaida nitaipata kwenye vitabu husika lakini elimu ya Kiroho my Bible is the main source of knowledge, nikisoma vitabu vingine vya elimu ya kiroho ni kama nyongeza tu na kuongezea kile nilichokwisha kujifunza na si kupingana na kile kilichopo kwenye biblia
Sent using Jamii Forums mobile app
Did I say otherwise?Mkuu nijuav
Qur'an na bible ni vitabu vilivyopo duniani ili kukupa mwanga tu ili roho yako ianze kutafuta ukweli wewe ni nani? Na uko duniani kwa ajili gani?
Here comes a dreamer!Wadau kubishania neno la mungu ni kumkosea heshima muumba iache biblia iseme yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app