Ni haki kusoma message kwenye simu ya mpenzi wako?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
ni aki kwasababu cha mpz wako chako na cha kwako chake,mbali na ivyo ni inaonyesha uaminifu lakini kama mmoja apendi basi yy ni msaliti,pia inakupa uhuru kwake na kwako.
 
sio,haki. kwa sababu ,inawezekana kuna watu wanamtania yeye, wewe ukiona unaweza kasirika wakati sio issue
 
ni aki kwasababu cha mpz wako chako na cha kwako chake,mbali na ivyo ni inaonyesha uaminifu lakini kama mmoja apendi basi yy ni msaliti,pia inakupa uhuru kwake na kwako.
huu ni upupu, unajiuliza mwenyewe kisha unajijibu mwenyewe. We ni shostio mwanzo mpaka mwisho
 
Kuna kitu kinaitwa Privacy.. mahusiano yasiokua na chembe ya Privacy ndo hio usumbua saana maana mnanyimana breathing space.. naamini kua mjanja wa kuchanganya wenza sio mzembe kiasi cha kuwasiliana nae kimahaba kwa message au kumsave under AshaDii.. zaidi zaidi ataweka Alex au hata Prof AshaDii kuonesha ni mtu na heshima zake ili usimhusishe katika mawazo yako ya kushuku... Wanokamatwa na messages ni wale ambao sio wataalam na kufanya kwa kuiga hivyo si fani yao...

Enways mitazamo imetofautiana...
 
tatizo kubwa linaloyumbisha ndoa nyingi ni SIRI. na kwa maisha ya siku hizi yanachangiwa zaidi ni hizo simu zenu; kuwa huru tu hata kama unataniwa kama ni kweli utani hakuna atakayekasirika
 
Inategemeana na aina ya mpenzi, kama ni mme/mke wako wa NDOA inapendeza wote mkawa wa wazi ili kudumisha uaminifu kati yenu kwani tayari mlishakuwa mwili mmoja.
 
Kwa watu wanaoaminiana hakuna mipaka kwenye matumizi ya simu,lakini ni kukosa uaminifu kuchukua simu ya mwenzio kwa lengo la kumkagua,tayari unakuwa haumwamini,ni ujinga kuishina mtu usiemwamini na mtu mwaminifu haendi kuoga na simu yake,hata ikiita kama mke/mume yupo sio marufuku kupokea na anapopokea anatakiwa kusema"samahani mwenye simu anaoga"hata kama aliyepiga ni oposite na sex ya mwenza wako,sio unaanza 'wewe nani?'unamjuaje mwenye simu?'na maswali mengine ya kuonesha utupu kwenye kufikiri kwako!Mwisho wa yote kila mtu atumie simu kama yake,sio unataka ujue majina ya fonbuku ya mkeo/mumeo hiyo simu sio yako mwache mwenye simu atumie kama yake,kama humuamini ni bora mkaachana kwani hakuna maisha ya furaha kama hamuaminiani!
 
ni aki kwasababu cha mpz wako chako na cha kwako chake,mbali na ivyo ni inaonyesha uaminifu lakini kama mmoja apendi basi yy ni msaliti,pia inakupa uhuru kwake na kwako.

We soma, lakini kesho usije hapa unalia... "ooh wana JF nisaidieni, natamani kujiua"...
 
Kuna kitu kinaitwa Privacy.. mahusiano yasiokua na chembe ya Privacy ndo hio usumbua saana maana mnanyimana breathing space.. naamini kua mjanja wa kuchanganya wenza sio mzembe kiasi cha kuwasiliana nae kimahaba kwa message au kumsave under AshaDii.. zaidi zaidi ataweka Alex au hata Prof AshaDii kuonesha ni mtu na heshima zake ili usimhusishe katika mawazo yako ya kushuku... Wanokamatwa na messages ni wale ambao sio wataalam na kufanya kwa kuiga hivyo si fani yao...

Enways mitazamo imetofautiana...

Naanza kuwa na mtazamo tofauti na nilivyokuwa nakufikiria katika michango yako ya awali ... anyway naendelea kukusoma!
 
kwa hiyo simu haina delete button?....na watu wanaambiwa wasitume message ukiwa nae...kwisha habari yako!
 
We soma, lakini kesho usije hapa unalia... "ooh wana JF nisaidieni, natamani kujiua"...
lazima nilalamike coz nampenda na wivu ninao kwa mpz wangu usipo lalamika una wivu na haujapenda.so jitaidi kupenda
 
kwa hiyo simu haina delete button?....na watu wanaambiwa wasitume message ukiwa nae...kwisha habari yako!
inaonyesha unapenda sana alafu ni msaliti alafu unamuogopa mpz wako, kwann ufute message?
 
Kuna kitu kinaitwa Privacy.. mahusiano yasiokua na chembe ya Privacy ndo hio usumbua saana maana mnanyimana breathing space.. naamini kua mjanja wa kuchanganya wenza sio mzembe kiasi cha kuwasiliana nae kimahaba kwa message au kumsave under AshaDii.. zaidi zaidi ataweka Alex au hata Prof AshaDii kuonesha ni mtu na heshima zake ili usimhusishe katika mawazo yako ya kushuku... Wanokamatwa na messages ni wale ambao sio wataalam na kufanya kwa kuiga hivyo si fani yao...

Enways mitazamo imetofautiana...

Mh, Ashadii kwa kweli hapo umeniacha hoi, hata wewe shosti?
 
Back
Top Bottom