Avatar Myg
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 675
- 118
Sio haki kwa anaempenda nje maana hawezi kumfanya wake wa pekee....na sio haki kwa yule anaejulikana kama mkewe/mumewe!
Sijui lini watu watajifunza kutokimbilia ndoa na watu wasiowapenda kwa dhati!!!Kama hampendi na anae anaempenda amuache dada/kaka wa watu nae atafute atakaempenda!
iweje uoe/uolewe na usiyempenda?
Kutokana na uwezo wako wa kupambanua mambo.. Mtu aliyeoa kutokana na sababu above ana haki ya kupenda?haki? kiaje?
kikatiba?kidini?as human right ennh?
ehh aya.....sasa mkeo home umemuoa km pambo?
Umesema vema Lizzy however nadhani kuna sababu nyingi ambazo zinawezamfanya mtu akamuoa/olewa na mtu asiyempenda.
Lizzy, unajua sio ndoa zote zinazoweza kuvunjika?Kama hampendi na anae anaempenda amuache dada/kaka wa watu nae atafute atakaempenda!
Mkuu, kuna factors nyingi sana zinazompelekea mtu kumuoa mtu fulani...una haki ya kupenda pale unapokua hujaoa tu ndugu yangu..! yale ni makubaliano ya kuwa pamoja nae maishani, sasa mambo ya haki yatoke wapi tena? unless muachane na kuvunja makubaliano...! hizo ni dalili za uchakachuaji
The right na logical thing itakua kujibu kua hana haki... Sababu maadili, dini, jamii
haikubaliani na hilo suala kabisa! But hio haiepushi ukweli kuwa yaweza tokea..
Kihalisia kila mwanadamu huitaji mapenzi ya kweli sababu kwa wale walo
wahi pitia wanajua the experience you get and how wonderful it feels...
Ndo maana ni muhimu saaana kuoa/kuolewa na mtu you have intensive
feelings for sababu ni bora utoke nje kwa tamaa lakini sio eti sababu
you have fallen in love... Hio inawafanya wandoa muwe katika misuko suko
ile mbaya... na kweli usiombe yakukute!
Rose1980, kuna factors nyingi sana zinazompelekea mtu kumuoa mtu fulani...
E.g.
1. Influence ya wazazi.
2. Money/wealth.
3. Kutafuta uraia wa nchi fulani.
4. Security reason.
5. Inawezekana ukakutana na ur right one baada ya ndoa
6. Unplanned pregnancy
.................. Etc
Kutokana na uwezo wako wa kupambanua mambo.. Mtu aliyeoa kutokana na sababu above ana haki ya kupenda?
Lizzy, unajua sio ndoa zote zinazoweza kuvunjika?
Lizzy, unajua sio ndoa zote zinazoweza kuvunjika?
WanaJF habari zenu!...
Kuna kitu kidogo kinanisumbua, hivi kwa mtu ambaye ameoa 'out of love'..
Yaani amemuoa mtu asiyempenda ana haki ya kuwa na mpenzi nje ya ndoa ambaye he/she truly loves?
YES!!!!!!WanaJF habari zenu!...
Kuna kitu kidogo kinanisumbua, hivi kwa mtu ambaye ameoa 'out of love'..
Yaani amemuoa mtu asiyempenda ana haki ya kuwa na mpenzi nje ya ndoa ambaye he/she truly loves?
lakin zinaweza kusambaratika...:smow:
YES!!!!!!
Kuna watu wameowa wasiowapenda.Tena wengi tu
Zimefungwa na mnyororo wa chuma ama kwa gundi?!