Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Fungu la mchicha..........!!!!??.....
labda nikuulize ni haki kuenzi fikra na busara za nyerere?kama ni haki,kwan tusimuombee huko alipo kwa mema aliyotuachia?
Kumwabudu?? Kivipi??
Wana JF.Hili swala la kumwabudu marehemu au kumwombea wakati yeye kashakufa na hana ufahamu wowote kweli ni jambo jema? Maiti haijui wala haisikii nijuavyo mimi sijui wenzangu mnajuaje? Maiti haina thamani yoyote hata fungu la mchicha la mia mbili inaizidi thamani nijuavyo mimi.Naombeni na nyie mawazo yenu kuhusu hili watu wa jf.
Naomba twende kwa mfano ili tuelewane.
Maiti ya mama yako na mchicha wa 2000, kipi unadhani ni bora kitupwe jalalani kiliwe na mbwa?!
Maua hunyauka, hadithi huisha na kumbukumbuku husahaulika. Siyo sawa.
kuabudu sio haki. ni maamuzi binafsi, ndio maana unaweza kutoabudu chochote au yeyote.
pia kuombea na kuabudu ni mambo mawili tofauti.
kwa mtazamo wangu haina maana sana kwa kua maiti ni sehemu ya tuchokipata kutokea kwene dunia hii na kuzika ni part ya kukirudisha so kuombea maiti...ni kupoteza mda......kitokacho kwa Mungu ndio kinarudi kuhukumiwa na hukumu inatokana na namna mtu alivotumia mda wake duniani kufanya mema au mabaya...cdhani kama maombi yanaweza kubadilisha chochote
Kimsingi si sahihi na hata kibiblia pia c sahihi na nikosa kubwa Hakuna ibada ya wafu pia na MTU akifa ni hukumu nyinyi hata mkiomba Mara mia kwa cku haisaidia ushauri ACHENI KUTENDA MABAYA JIFUNZENI KUTENDA MENA
Ikishakuwa sawa au si sawa? Heri ufanye unaloliona wewe lipo sawa kuliko kuishi kwa kutegemea akili za watu
Sidiscuss naogopa
Yeap fungu la mchicha utakula na kupata vitamin je marehemu?