Ni haki demu kuchelewa kukupa?

Ni haki demu kuchelewa kukupa?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Ni haki demu kuchelewa kukupa papuch mpaka mda atakaotaka yeye? Hali hii inawapata sana wale wanaume wachovu ambao hawajui kutetea haki zao za msingi. Unakuta umeanza mahusiano na demu ila kukupa mpaka ajifikirie sijui, maringo mengi.

Wanaume wengi yanawakuta haya japo kwa upande wangu sijawai kukutana nalo hili.Hivi kina dada huwa mnataka nini eti? Inamaana nyinyi kweli huwa hamna uhitaji?? Mambo mengine huwa mnajitakia wenyewe kama kuachwa nk.

Wanaume leo tudiscus hili suala kwa kina ili tutokomeze tabia hii mbaya sana na imekuwa sugu kwa kina dada.

NAWAKILISHA.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni haki demu kuchelewa kukupa papuch mbka mda atakaotaka yeye?. Hali hii inawapata sana wale wanaume wachovu ambao hawajui kutetea haki zao za msingi. Unakuta umeanza mahusiano na demu ila kukupa mbka ajifikirie sijui, maringo mengi. Wanaume wengi yanawakuta haya japo kwa upande wangu sijawai kukutana nalo hili.Hiv kina dada huwa mnataka nini eti?? Inamaana nyinyi kweli huwa hamna uhitaji?? Mambo mengine huwa mnajitakia wenyew kama kuachwa nk.,Wanaume leo tudiscus hili suala kwa kina ili tutokomeze tabia hii mbaya sana na imekuw sugu kwa kina dada.NAWAKILISHA.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe Ni Jinsia Gani Mkuu?
 
Kwahiyo umekuja kuwasuta kina dada?
 
Of course ni haki yake. Mali yake kea nini akupe utakavyo wewe na sio atakavyo yeye?

Wewe unaweza kumpa kila wakati anaotaka?

Vizur...mambo ya kupelekeshana hakunaga hyo kitu kila mtu ako na mamlaka na mwili wake na sio mtu uwe na mamlaka na mwili wa mwenzio..hiyo inakujaje kwanza...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom