Ni gharama kiasi gani inahitajika kwa mtu anayetaka kulima mpunga?

Kuku kwiyoyo

Member
May 7, 2020
29
15
Habari yenu wanajamii.nimekuja humu kuomba ushauri kwa faida yangu pamoja na kwa faida ya wengine.

Kama kichwa cha habari kinavyosema...Nahitaji kufahamu kwa mtu anayetaka kulima kilimo cha mpunga je atatumia gharama za shilingi ngapi kwa kuzingatia vitu vifuatavyo

1)Gharama kukodi shamba la heka moja

2)Kukodi wakulima na je kwa shamba la heka moja litahitaji wakulima kama wangapi

3)Ni muda gani mpunga utatumia paka ukuwe na kukomaa

4)Kwa shamba LA heka moja linaweza kutoa magunia mangapi ya mpunga

5)Baada ya kuvuna mpunga je unaweza kuuza gunia moja kwa shilingi ngapi

Ni Hayo tu ndugu zanguni karibuni kwa ushauri

1666968441145.png
 
Back
Top Bottom