Ni gari gani inakula mafuta kidogo?

Ni gari gani inakula mafuta kidogo?

Bajeti yako ndio itaamua ununue gari gani yenye cc ndogo
 
Ikiwa unahitaji kagi ya kwendea kazini tu ni heri uchukue gari kama IST,VITZ,STALLET,NOTE hapo unyama lakini pia kama unazani hiyo gari inaweza ikatumika katika majukumu mengine kama kusaidia shughuri za nyumbani ni aheri utafute KIRIKUU iliyosimama imara.ni nzuri sana hata kwa budgetting za mafuta...any way kama wewe ni mtu wa speed na hutaki gharama kubwa tafuta VITZ RS,GOLF R,GLANZA GT,MINI COOPER,HOMDA FIT japo hii kwa utumiaji wa mafuta pia ni nzuri sana...all the best.
 
Terios kid, Suzuki swift and the like hizo za kizamani zinakula mafuta, nunua gari za kisasa zenye kutumia umeme mwingi (hybrid cars) ama electric cars, zipo nyingi kama vile Mitsubishi Outlander PHEV, Nissan Xtrail, Toyota CH-R n.k
 
Back
Top Bottom