Wote macho itv
Amna hipya hapo
Wote macho itv
Wote macho itv
chadema; wanapiga upepo rangi
hakuna rangi wataacha ona 2015
buried 2017 rasmi
Chadema mambo mnayoyafanya kama sio chama kikuu cha upinzani mnatuaibisha
Kwani ni mashindano? Kwenye mdahalo mbona Slaa alikimbia? Huyo Paroko hana uwezo wa kupambana na Msomi Zitto!
Slaa size yake ni Mch Ngwajima ,Mch Lwakatale ,Mch Mwingila
Mbona mnalia lia? hicho kikundi cha kisaliti lazima kife october
Inategemea kwa maoni yako, lakini kiukweli kuonyeshwa kwenye tv katika mikutano hii ya siasa siyo inayotafasiri kikao cha ndani au hadhara. Kama uliangalia kampeni za marekani, kuna mikutajo ya ndani ilikuwa inaonyeshwa kwenye tv. Hata hivyo karibuni tu tutakuwa na kikao kikubwa kabisa cha ccm ambacho pia kitakuwa cha ndani kuteua mgombea wao wa urais. Kikao hiki kitaonyeshwa kwenye tv. Bunge linarushwa kwenye tv, lakini bado ni kikao cha ndani! Kitu dhairi cha Mkutano wa hadhara hauna kizuizi cha mtu anayehudhuria!Unajua maana ya hadhara?maana yake umati au mkusanyiko wa watu.
Matangazo ya TV yanarushwa kwenye hadhara,kwa watu wengi.
Mkutano wowote unaoonyeshwa kwenye TV unaonekana kwa kila mtu aliyeswitch stesheni hiyo, hivyo ni mkutano wa hadhara,hadharani.
kikao cha ndani live ITV?
Mbona mnalia lia? hicho kikundi cha kisaliti lazima kife october
Wazee watawatazama wazee wenzao vijana watawatazama vijana wenzao
ACT-TANZANIA/WAZALENDO waliamua kupanga muda mmoja na Dr Slaa wakidhani wanaweza kuharibu watu kufuatilia mkutano wa chadema. ACT sio size ya chadema,subirini kifo chenu. Kesho ITV LIVE
NASHUKURU SANA
CHANNEL TEN; BIG UP..................................................................
NYIE NI WAZALENDO WA KWELI; HII NDO CHANNEL TEN YA KINA KIBONDE , NYANGASA N,K
ACT - NDO HABARI YA DAR
CHADEMA PELEKA SHMABA ARUSHA NA KILIMANJARO;
WANATAKA KUOKOA FISADI SABODO NA ACC YAKE YA USWISS NA MBOWE .
MASIKIO YOTE MWEMBEYANGA
![]()
Umesahau kongamano la bavicha?nan alie lie pollen kwa kukosa usingizi et kuongea na wazeee ha ha haaa vijana kamwachia nan? ndo ajue kashaexpire kisiasa