Ni Dr Slaa ITV na Zitto Channel 10 Live

Ni Dr Slaa ITV na Zitto Channel 10 Live

Eti nipoteze muda wangu kumuangalia babu mzinzi!! Act mpango mzima.
 
ACT wametangaza tarehe 26/06, wiki moja kabla ya Chadema. Unaweza kuona hapo jinsi Chadema wanavyofanya utoto.

Washiriki wamealikwa kwa kadi , unafikiri zimeanza kutengenezwa jana ? Washiriki wamekuwa na taarifa wiki tatu zilizopita , mtafute mzee wa Dar muulize alipewa taarifa lini...
 
Washiriki wamealikwa kwa kadi , unafikiri zimeanza kutengenezwa jana ? Washiriki wamekuwa na taarifa wiki tatu zilizopita , mtafute mzee wa Dar muulize alipewa taarifa lini...

Endeleeni sie tunawaangalia tu.
 
Dr Slaa aliishatwambia wiki mbili zilizopita kuwa hana ilani wala sera ya kuwaambia watanzania kwa sasa mpaka baada ya mkutano mkuu wa Chadema.Hivyo kumsikiliza asiye na jibu ni kupoteza muda tu, maana atarudia tu story za kila siku, ata kabla hajaongea mtu yeyote anayefuatilia siasa tayari anajua Dr Slaa atakayoongea,ni yale yale ya kila siku ukiongeza na suala la bunge la jana na leo.

Na kuhusu nia kwani nani hajui kuwa Dr Slaa ana nia ya urais toka 2010?ni utoto tu wa kisiasa ,mkikua mtaacha.

Unalia nini sasa? Leo ACT ndio wameomba msaada wa kupata live CH10 na Azam .......acheni kulia , ingekuwaje ingekuwa ni mkutano wa hadhara ?
 
Endeleeni sie tunawaangalia tu.Wote wake zetu, wake wanapogombana ni jukumu letu kuwaweka sawa.

Unawaza ngono na uzinzi tu kama Supreme leader ......Unawadhalilisha wanawake akiwemo Mwenyekiti wa ACT Taifa
 
Unalia nini sasa? Leo ACT ndio wameomba msaada wa kupata live CH10 na Azam .......acheni kulia , ingekuwaje ingekuwa ni mkutano wa hadhara ?

Mnanipa tabu nyie, nimetoa somo hapo juu la maana ya mkutano wa hadhara na wewe unarudia tena.Dr Slaa aliishajiishia,mara ya mwisho mkutano wake ulitangazwa sana wiki mbili zilizopita ikaishia aibu na ikabidi ata asitokee kukwepa aibu.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...adema-tanganyika-packers-kawe-jijini-dar.html
attachment.php

Aliishia kupata watu hao, hivyo sishangai saizi kaamua kuhamia ukumbini.

Kesho mngetusaidia kuwapima vizuri kama wote mngefanya mkutano huko Temeke alafu sie tuangalie tu watoto wepi watajaza zaidi.

Najua ata wewe kesho utamsikiliza Zitto, Dr Slaa hana jipya kwa sasa,tuwasubiri akina Tundu Lissu na Mnyika ndio watupe jipya la bungeni
 
Unawaza ngono na uzinzi tu kama Supreme leader ......

Kumbe na Supreme nae yupo hivyo?nilikuwa najua tu ya Dr Slaa na mke wa mtu na ya Mbowe kumzawadia mchepuko ubunge wa viti maalum.Kwa wote kuwa hivi ni ishara kuwa huko Chadema hakuna maadili
 
Kumbe na Supreme nae yupo hivyo?nilikuwa najua tu ya Dr Slaa na mke wa mtu na ya Mbowe kumzawadia mchepuko ubunge wa viti maalum.Kwa wote kuwa hivi ni ishara kuwa huko Chadema hakuna maadili

Jiongeze kidogo .......
 
Bavicha wana kazi sana mwaka huu,hawajui wanapambana na nani duh,kweli kazi ipo mwaka huu
 
Sasa huyu padri mwizi wa wake za watu ataongea nini cha maana?kwanza atueleze kwanin aliacha upadri
 
Tulianza na mungu,Tupo na mungu na tutamaliza na mungu..
Kumbe mlianza na mungu!, basi ujue hakuna kitu kwa sababu huyo mungu sii lolote sii chochote mbele ya Mungu!, labda kama mgeanza na Mungu, lakini kama mlianza na mungu!, imekula kwenu!.

Pasco
 
Navicha: your leader might be wrong learn to think for yourself
 
Dr.Slaa na CHADEMA , they have a very good strategy hasa kuhusiana na CCM na kamati kuu yao kesho hiyo , so maamuzi ya CCM hayana impact kubwa .....
 
Tuwe wakweli tu, unalionaje hili la slaa baada ya ZZK kutangaza mkutano wao pale mwembeyanga? Hawatalala usingizi mwaka huu, Zito Mzito kweli.......

Wewe ni mpumbavu tu. Hivi ninani anayeshindana na Zito? Kwalipi? Zito ni nani? Acheni ujinga. Kueni muuone ukweli. Huwezi kumlinganisha Dr.Slaa na huyo kifaranga Zito!!!? It is shame!!!! At Zito msomi, hamjaona wasomi? Ndiyo msomi wa kigoma, hongereni.!!!.... Hata siku mojo huyu msaliti, mjinga, Mlafi wa madaraka hawezi kusumbua watu wenye akili zao. Msijidanganye mkidhani kiwa zito anainyima chadema usingizi. Ni kifaranga tu huyo kwetu. Subirini akuwe, ndiyo mumtume sokoni. Nendeni CCM, hapo Lumumba mkapokee mishahara yenu. Nape anawasubiri.
 
NASHUKURU SANA
CHANNEL TEN; BIG UP..................................................................

NYIE NI WAZALENDO WA KWELI; HII NDO CHANNEL TEN YA KINA KIBONDE , NYANGASA N,K

ACT - NDO HABARI YA DAR

CHADEMA PELEKA SHMABA ARUSHA NA KILIMANJARO;

WANATAKA KUOKOA FISADI SABODO NA ACC YAKE YA USWISS NA MBOWE .

MASIKIO YOTE MWEMBEYANGA

is

Kwani ni mashindano? Kwenye mdahalo mbona Slaa alikimbia? Huyo Paroko hana uwezo wa kupambana na Msomi Zitto!

Slaa size yake ni Mch Ngwajima ,Mch Lwakatale ,Mch Mwingila

Kajifunze maneno ya kiswahili. Yaani matamshi na herufi
 
Dr.Slaa na CHADEMA , they have a very good strategy hasa kuhusiana na CCM na kamati kuu yao kesho hiyo , so maamuzi ya CCM hayana impact kubwa .....

Kama hilo ndilo lengo lao ni dalili nyingine kwamba bado ni wachanga sana kisiasa.

Masikio ya Watanzania wote akiwepo Dr Slaa yapo kwenye vikao vya uteuzi vya CCM,kudhania tofauti ni utoto tu!
 
Back
Top Bottom