Ni Dr Slaa ITV na Zitto Channel 10 Live

Ni Dr Slaa ITV na Zitto Channel 10 Live

Hivi ni nani aliyeanza kutangaza uwepo wa mkutano live kwenye TV?ni Chadema ndio kakuupuka kuwaiga ACT kwenye hili.Ata mtoto mdogo analiona hili maana lipo uchi.

mi ninachojua Ni kuwa mkutano WA chadema Ni jumapili na WA act ndo kesho jumamosi
 
Kama hilo ndilo lengo lao ni dalili nyingine kwamba bado ni wachanga sana kisiasa.

Masikio ya Watanzania wote akiwepo Dr Slaa yapo kwenye vikao vya uteuzi vya CCM,kudhania tofauti ni utoto tu!

Watu kama wewe ambao akili ziko teketeke ...ni vigumu kunielewa
 
relevance ya zitto ni kujitag na chadema kwi kwi kweli msaliti ni msaliti hana platform ya kuheshimika na ameshuka kisiasa lazima wasaliti wenziwe waje kujinadi kwa kupitia magwiji wa siasa Tanzania arudishe burungutu la watu alilopata pitia kimei la mtesa sana

alikusaliti kwa mama yako nini?
 
Ukiwa hujui alafu hujijui kama hujui matokeo yake ndio haya.Desa nilichokufundisha hapo ili mwanao akikuuliza umpe jibu sahihi.
Ni tatizo la watu wanaofikiri wanajua na kumbe ni mbumbumbu. Mnaenda kwa mihemko. Kikao cha ndani kinaweza kuwa cha wazi lakini hakiwezi kuwa mkutano wa hadhara.
 
Watu kama wewe ambao akili ziko teketeke ...ni vigumu kunielewa

Kinyume chake ni sahihi, kwa akili ndogo uliona ni kashfa kwa mmoja wao tu.Hiyo ni ishara ya tatizo la kutokuwa na uono wa mbali, ndivyo akili ndogo zilivyo.

NA hiyo ya eti mkutano wa Dr Slaa utafunika macho ya watanzania kufuatilia CCM watamteua nani ni mtoto mdogo tu ndiye anaweza akafikiri hivi, kama Chama kizima kinapanga hivyo,ni ishara kuwa kinaongozwa kwa akili ndogo.
 
Ni tatizo la watu wanaofikiri wanajua na kumbe ni mbumbumbu. Mnaenda kwa mihemko. Kikao cha ndani kinaweza kuwa cha wazi lakini hakiwezi kuwa mkutano wa hadhara.

Hujui na hujui kuwa hujui
 
Dah hii thread haina afya kabiiiiisa! Ni full mipasho ndo hii jamiiforums home ya great thinkers au imekuwa ya great sinkers?
 
Duu nategemea kuona ugumu wa falsafa zakimapinduzi na uchambuzi yakinifu wa maswala nyeti kabsa
 
Wewe ni mpumbavu tu. Hivi ninani anayeshindana na Zito? Kwalipi? Zito ni nani? Acheni ujinga. Kueni muuone ukweli. Huwezi kumlinganisha Dr.Slaa na huyo kifaranga Zito!!!? It is shame!!!! At Zito msomi, hamjaona wasomi? Ndiyo msomi wa kigoma, hongereni.!!!.... Hata siku mojo huyu msaliti, mjinga, Mlafi wa madaraka hawezi kusumbua watu wenye akili zao. Msijidanganye mkidhani kiwa zito anainyima chadema usingizi. Ni kifaranga tu huyo kwetu. Subirini akuwe, ndiyo mumtume sokoni. Nendeni CCM, hapo Lumumba mkapokee mishahara yenu. Nape anawasubiri.
Povu loote hili huna cha maana ulichoandika!Ukiona mtu anaporomosha matusi ujue hana hoja!Ukweli utabaki palepale, ukichanganya viongozi woote wa chadema kwa pamoja hawamuwezi zzk!
 
Back
Top Bottom