Ni dharau kuwapa Tsh. Milioni 5 wachezaji wa Simba Queens kama washindi wa Ngao 2023

Sio dharau ngao ya jamiii ni kurudisha kwa jamii we unafikirira kuhusu kupata tuuu katika kila kitu. Au ukubwa sikuizi sio jiwe🤔🤔🤔🤔🤔
 
Waandaaji wa haya mashindano yaliyowaibua simba Queen kama washindi wa ngao ya jamii 2023!

Kutoa 5Mil kwa mshindi wa kwanza ni dharau kubwa. Hata mashindano ya ndondo cup wasingetoa pesa hiyo. Hawa Dada zangu hatujawatendea haki kabisa!
Mwanzo ,mwanzo mdogo ,hii ni stepping stone 🪨 kuanzia Hapa mabadiliko yatakuwepo.
 
Nadhani kwakua ni msimu wa kwanza tuwapongeze pia kwa hatua hii,natumai msimu ujao utakua bora na ulioboreshwa zaidi,lets learn to appreciate! TFF hawawezi kufanya kila kitu,na ndio maana kuna nguvu ya udhamini kidogo ,msimu ujao wadhamini wataongezeka.
 
Ooh
 
Hakuna mtu anapenda mpira wa wanawake, ni bora ukaangalia mpira wa watoto wa Sekondari.
Sema wewe hupendi! Usiwasemee wengine!
Kila kitu huwa ni matangazo! Hakuna kisichopendwa sema mpira huu haijatangazwa na kupewa kipaumbele!

Ungeaangalia fainali uone wadada wanavyocheza vizuri saingine kuliko baadhi ya timu za wanaume
 
Back
Top Bottom