Ni dhahiri Gwajima ameshindwa kujitetea

Ni dhahiri Gwajima ameshindwa kujitetea

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,498
Reaction score
28,720
Baada ya clip kuvuja ya gwajima akizini mchana kweupe, wengi walitegemea aje na ushahidi uliojaa kukana kuwa sio yeye, kwa hoja nzito nzito, lakini amejiabisha na amethibitisha ni yeye asilimia 100,

Kitendo cha kusema video ni fake, Mara wamepandikiza mkono na kiwiliwili ,imedhihirisha utetezi wake ni hafifu, tukilinganisha jinsi gwajima alivyo mropokaji na kujifanya mtu mwenye intelejensia Kali,

Kitendo cha kumualika kakobe ni kutafuta huruma na kuungwa mkono na viongozi wa dini ionekane ametengenezewa video,

Ukweli ni kwamba Gwajima ana rekodi chafu kuhusu wanawake , hivo alitumiwa mwanamke ambaye imechukua muda hadi anaingia kwenye mtego , ni dhahiri inaonesha Mwanamke Yule alikuwa kwenye mission na ameikamilisha , kwanza hakutaka Ku concentrate kwenye Camera, na ni dhahiri mwanamke ndiye alimshawishi wajirekodi then wataifuta, lakini kosa moja lilimgharimu gwajiboy,
Yawezekana alienda Bafuni na ndipo picha /video zikaamishwa huku kwenda huku, kifupi wali mblackmaail,

Kutunza heshima yake angekaa kimya ,maana kuongelea kujifanya ametengenezewa video ndio amethibitisha Ni yeye,

Ni dhahiri hata waliofanya hii mission hawana video moja tu, maana wengi wanazungumzia video ya dk 1:37 , ya staili moja tu, huenda wanayo ndefu zaidi, hivo Kitendo cha Gwajima yule aliyemfanya Bashite kumwaga chozi, kuwa mpole na kubaki kusema ni Fake ,mara wamepandikiza na baunsa, ni dhahiri Anajitilia aibu zaidi,

Teknolojia ya kuunga video kama ile ni ghali sana, ni huko movies za Hollywood , inasemekana kuunga kichwa na kiwiliwili ni karibu million 60,

Na ile video ni HD kabisa haina mafekefekeche,

Mange kimambi alitoa mtihan mmoja kuwa Gwajima aache kutafuta huruma kwa watu, ukweli ni yeye mwenyewe bila chenga,

Akatoa mtihan huu kama kuna MTU anaweza amtengenezee video yeye akifanya kama Gwajiboy atatoa $1000,

Nimalize kwa kusema Muaminini Mungu pekee , viongozi WA dini ni dhaifu kama sisi, tunasoma katika biblia hata manabii walikosea , Gwajima yeye nani asikosee?
tapatalk_1557405281757.jpeg
 
Ila Gwajima alikula kitu kitamu sana aisee, wanaume wote baba yetu ni mmoja, ikifikia upande wa papuchi utukufu tunaweka pembeni aisee, bila papuchi wanaume tungelikuwa masonko.
Wakule Gwajizzo maisha yenyewe tunaishi mara moja.
 
Ila hata mimi Tomaso nimeanza kuamini baada ya kuoneshwa tu clip nyingine ambayo iko "clear" zaidi tofauti na niliyoiona awali. Kuna uwezekano kweli Askofu alitegeshewa maana yule mwanamke alikuwa hajishughulishi na chochote na alihakikisha hajulikuni sura yake kwa namna yoyote ile huku sura ya mtaalamu wetu ikionekana kwa uwazi zaidi.

Kama Samson na yale maguvu yake kwenye binlia aliweza kurubuniwa na Delila kwa sababu ya mapenzi, iweje Askofu anusurike? Hakika ukianzisha vita na Makonda basi utambue hiyo vita haina mwisho. Enzi zile alimchukulia ujiko sana jamaa yetu Daudi Albert Bashite! Sasa ni zamu yake kulipa.
 
Ila Gwajima alikula kitu kitamu sana aisee, wanaume wote baba yetu ni mmoja, ikifikia upande wa papuchi utukufu tunaweka pembeni aisee, bila papuchi wanaume tungelikuwa masonko.
Wakule Gwajizzo maisha yenyewe tunaishi mara moja.
Mara PAAAAP!!! Video inamwagwa Part Two!!!

Gwajizzo anam "AMBER-RUTTY" yule mwanamke!!!
 
Ni mvivu wa kufikiri tu ndiye mwenye uwezo wakukubalianana na utetezi wa gwajiboy.
Baada ya clip kuvuja ya gwajima akizini mchana kweupe, wengi walitegemea aje na ushahidi uliojaa kukana kuwa sio yeye, kwa hoja nzito nzito, lakini amejiabisha na amethibitisha ni yeye asilimia 100,

Kitendo cha kusema video ni fake, Mara wamepandikiza mkono na kiwiliwili ,imedhihirisha utetezi wake ni hafifu, tukilinganisha jinsi gwajima alivyo mropokaji na kujifanya mtu mwenye intelejensia Kali,

Kitendo cha kumualika kakobe ni kutafuta huruma na kuungwa mkono na viongozi wa dini ionekane ametengenezewa video,

Ukweli ni kwamba Gwajima ana rekodi chafu kuhusu wanawake , hivo alitumiwa mwanamke ambaye imechukua muda hadi anaingia kwenye mtego , ni dhahiri inaonesha Mwanamke Yule alikuwa kwenye mission na ameikamilisha , kwanza hakutaka Ku concentrate kwenye Camera, na ni dhahiri mwanamke ndiye alimshawishi wajirekodi then wataifuta, lakini kosa moja lilimgharimu gwajiboy,
Yawezekana alienda Bafuni na ndipo picha /video zikaamishwa huku kwenda huku, kifupi wali mblackmaail,

Kutunza heshima yake angekaa kimya ,maana kuongelea kujifanya ametengenezewa video ndio amethibitisha Ni yeye,

Ni dhahiri hata waliofanya hii mission hawana video moja tu, maana wengi wanazungumzia video ya dk 1:37 , ya staili moja tu, huenda wanayo ndefu zaidi, hivo Kitendo cha Gwajima yule aliyemfanya Bashite kumwaga chozi, kuwa mpole na kubaki kusema ni Fake ,mara wamepandikiza na baunsa, ni dhahiri Anajitilia aibu zaidi,

Teknolojia ya kuunga video kama ile ni ghali sana, ni huko movies za Hollywood , inasemekana kuunga kichwa na kiwiliwili ni karibu million 60,

Na ile video ni HD kabisa haina mafekefekeche,

Mange kimambi alitoa mtihan mmoja kuwa Gwajima aache kutafuta huruma kwa watu, ukweli ni yeye mwenyewe bila chenga,

Akatoa mtihan huu kama kuna MTU anaweza amtengenezee video yeye akifanya kama Gwajiboy atatoa $1000,

Nimalize kwa kusema Muaminini Mungu pekee , viongozi WA dini ni dhaifu kama sisi, tunasoma katika biblia hata manabii walikosea , Gwajima yeye nani asikosee?View attachment 1095906
 
Umenena vyema ndugu.
Nimeshangaa jamaa anataka kutumia nguvu kutuaminisha kuwa yule sio yeye badala ya kutumia muda mwingi KUMRUDIA MUNGU AMSAMEHE KWA UHUNI ANAOFANYA YEYE.
NAUNGANA NA WEWE MTOA MADA KUWA YULE DEMU AMEPEWA MISION NA KUNA VIDEO ZAIDI YA MOJA ZIMEHIFADHIWA ILI AKILETA FYOKO TU ANALIWA KICHWA.
Baada ya clip kuvuja ya gwajima akizini mchana kweupe, wengi walitegemea aje na ushahidi uliojaa kukana kuwa sio yeye, kwa hoja nzito nzito, lakini amejiabisha na amethibitisha ni yeye asilimia 100,

Kitendo cha kusema video ni fake, Mara wamepandikiza mkono na kiwiliwili ,imedhihirisha utetezi wake ni hafifu, tukilinganisha jinsi gwajima alivyo mropokaji na kujifanya mtu mwenye intelejensia Kali,

Kitendo cha kumualika kakobe ni kutafuta huruma na kuungwa mkono na viongozi wa dini ionekane ametengenezewa video,

Ukweli ni kwamba Gwajima ana rekodi chafu kuhusu wanawake , hivo alitumiwa mwanamke ambaye imechukua muda hadi anaingia kwenye mtego , ni dhahiri inaonesha Mwanamke Yule alikuwa kwenye mission na ameikamilisha , kwanza hakutaka Ku concentrate kwenye Camera, na ni dhahiri mwanamke ndiye alimshawishi wajirekodi then wataifuta, lakini kosa moja lilimgharimu gwajiboy,
Yawezekana alienda Bafuni na ndipo picha /video zikaamishwa huku kwenda huku, kifupi wali mblackmaail,

Kutunza heshima yake angekaa kimya ,maana kuongelea kujifanya ametengenezewa video ndio amethibitisha Ni yeye,

Ni dhahiri hata waliofanya hii mission hawana video moja tu, maana wengi wanazungumzia video ya dk 1:37 , ya staili moja tu, huenda wanayo ndefu zaidi, hivo Kitendo cha Gwajima yule aliyemfanya Bashite kumwaga chozi, kuwa mpole na kubaki kusema ni Fake ,mara wamepandikiza na baunsa, ni dhahiri Anajitilia aibu zaidi,

Teknolojia ya kuunga video kama ile ni ghali sana, ni huko movies za Hollywood , inasemekana kuunga kichwa na kiwiliwili ni karibu million 60,

Na ile video ni HD kabisa haina mafekefekeche,

Mange kimambi alitoa mtihan mmoja kuwa Gwajima aache kutafuta huruma kwa watu, ukweli ni yeye mwenyewe bila chenga,

Akatoa mtihan huu kama kuna MTU anaweza amtengenezee video yeye akifanya kama Gwajiboy atatoa $1000,

Nimalize kwa kusema Muaminini Mungu pekee , viongozi WA dini ni dhaifu kama sisi, tunasoma katika biblia hata manabii walikosea , Gwajima yeye nani asikosee?View attachment 1095906
 
The big challenge... Kwa hili mimi nasubiria umahiri wa Tcra katika kuwabaini wahalifu, wanaotukana na kuchafua watu
 
Unajidanganya
 
The big challenge... Kwa hili mimi nasubiria umahiri wa Tcra katika kuwabaini wahalifu, wanaotukana na kuchafua watu
Jiulize mbona gwajima alikuja kwa mbwembwe kabisa eti Original east akamatwe, ushajiuliza why bado original east ndio anazid kupost wala hajagasiwa kwa lolote, ndio ujue waliomlipua Gwajima kwanza ni kundi la bashite ,pia wanazo file zake zaidi ya moja,

Hivo akileta fyokofyoko zinaachiwa nyingine, ndio maana aliwaahid waumin wake jumapili atamlipua aliyetrngeneza video, Je amemlipua nani? Ndio ujue kashaonywa akiendelea yatampata zaidi,

Sikweli Gwajima kapiga staili moja, lazima IPO video ndefu tu, na ukute katumiwa gwajima , ndio maana kawa mpole sana.
 
Back
Top Bottom