Ni Comedian Gani Anayefanya Vizuri, Unayependa Kumsikiliza/Kumwangalia?

Wale wa kwenye Kitim Tim...

Dullvani, Masantula, Pili na Tin White





Cc: mahondaw
20210125_213138.jpg
 
Joti na mkojani wako vizuri sana!

Comedy yao ni kipaji halisi. Kwa kweli wanaweza. Usipocheka basi una matatizo ya afya! — probably huna bandama.

Kuna wajinga wengine huwa hata siwaelewi. Mfano yule wanamuita sijui idriss!!

Huwa sifahamu hata anachekesha nini!! Naona anakenua kenua tu ovyo!
 
Maisha kwasasa yamekuwa so boring and stressful.

Nadhani ndio maana industry ya comedy inaonekana kukua sana siku za hivi karibuni.

Je, kwako ni Comedian gani bora unayependa kumsikiliza au kumwangalia.

Any recommendations.
Anaitwa KAGODO AKA MC WHITE, pale New Mwanza hotel
 
Back
Top Bottom