NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,959
- 2,938
Habari Wakuu,kwa Wale mnaoshabikia mgogoro wa Chadema acheni Kushabikia Bila Kuelewa Muelekeo Wa Cdm,kiukweli Kinapoelekea CHADEMA ndipo vilipotoka NCCR-MAGEUZI na TLP.Kwani mfumo unaotumika ni uleule ZUSHA,ENEZA,FUKUZA kwa manufaa binafsi.