Ni chadema

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,959
2,938
Habari Wakuu,kwa Wale mnaoshabikia mgogoro wa Chadema acheni Kushabikia Bila Kuelewa Muelekeo Wa Cdm,kiukweli Kinapoelekea CHADEMA ndipo vilipotoka NCCR-MAGEUZI na TLP.Kwani mfumo unaotumika ni uleule ZUSHA,ENEZA,FUKUZA kwa manufaa binafsi.
 
hoja yako mfu sana wala haina mashiko jipange sana km unasubiri cdm ife utakufa wewe
 
Hiv we n mjita gan bongo lala? Nnamarafik wajit lakin sio vitasa kama ww,kusoma hujui hata picha huon?kweli we kitasa
 
Back
Top Bottom