Bora wewe ni mstaarabu na picha umeweka.Hellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri.
Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi
View attachment 2877638
👇👇👇👇👇👇Pitia uzi huu, kwa mtaji wa laki mbili
👇👇👇👇Angalia post hii
Uko wapi mkuu?Hellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri.
Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi
View attachment 2877638
Wewe ni msukuma?Hellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri.
Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi
View attachment 2877638
Toa 20 tafuta bar yenye utulivu, agiza beer lain kunywa huku unatafakari 180k utaifanyia biashara gani, anyway muite mshkaji wa karibu akusaidie mawazo so nyofoa 30 tena ili ubaki na figure kamili yaan 150kHellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri.
Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi
View attachment 2877638
Vipi nirahisi kukipata icho kitabu? Share au tupe link mkuuNenda kasome kitabu linaitwa Tajiri wa babeli ukikimaliza tu. Anza kufanya biashara yyt kulingana na mtaji wako. Akuna biashara isiyo lipa.
Ili ashauriwe biashara inayoendana na mwonekano wake😂Duh! Sasa Hiyo Picha Inahusiana Vip
Hellow guys mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 na nina matamanio ya kujiajri.
Je, ni biashara gani yenye mtaji mdogo kwa 200k itakayoweza kuniinua kiuchumi
Chief naomba uelekeze hii itasaidia wengine waliopo dsm na wanataka kufanya hii biashara...hiv tandale kuna mtumba mzur?Labda ufanye biashara ya kuuza mtumba ungekuwa Dar ningekuelekeza soko la Tandale, Karume au Ilala ukifika tu utajua cha kufanya, biashara ni nyingi kulingana na bajeti yako.
Dogo kazingua picha yanini sasa nahilo pozi !