Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
Fanya hivi, nunua boda boda zako tatu wape vijana waaminifu unaowafahamu wapige mzigo, kwa siku watakuletea mkate mmoja,sukari 1kg + 8,000 *3 =24,000 kwa mwezi ni kama 720,000 hapo wanajilipa wenyewe na mafuta wanaweka wenyewe we utahakikisha servise inafanywa kwa wakati, wakati huo unakaa nyumbani tu miguu kwenye sofa remote mkononi na coca badiri pembeni na papcorn...!
duuh! Mkuu, boda boda tatu tu ndio ukae miguu juu!!