Ni akina nani walichoma BoT miaka hiyo?

Ni akina nani walichoma BoT miaka hiyo?

Go

Good history. I agree with you 100%

Akarudi kuangalia tena facts.

Mzee Cleopa Msuya ndie aliekuwa waziri wa fedha mwaka huo wa 1984.

Mzee Msuya alikuwa waziri wa fedha katika awamu ya kwanza tangu mwaka 1983 hadi 1985.

Hiyo ilikuwa ni baada ya kuwa waziri mkuu wa muda baada ya kifo cha marehemu Sokoine.

Mwaka huohuo wa 1985 baada ya mzee Mwinyi kuwa rais aliiongezea majukumu wizara hiyo ya fedha na kuwa Wizara ya fedha uchumi na mipango na mzee Msuya akawa waziri hadi mwaka 1989.

Baadae tena mzee Msuya akaendelea kuwa waziri tena wa fedha kuanzia 1989 hadi 1990.

Marehemu Steven Kibona ndie alikuwa waziri wa fedha kati ya 1990 na 1994.

Marehemu Kighoma Malima alishika nafasi hiyo mwaka 1994

Ikumbukwe kuwa wakati mzee Msuya akiwa waziri wa fedha katika kipindi hicho chote marehemu Kighoma Malima alikuwa ni naibu wake.

Kama kuna wale wanaokumbuka ndege iliyokuwa imembeba mzee Msuya ikitokea Mwanza ilitekwa nyara na vijana wa kitanzania akina Memba na wenzake na kuelekezwa iende London Uingereza mwaka huo wa 1984.

Ni mwaka ulioleta dhahama kwa hayati mwalimu likiwemo tukio la kujitoa kwenye EAC, IMF walikuwa wamemwambia hayati Mwalimu apunguze thamani ya shilingi ya Tanzania na pia serikali ilikwishatunga sheria ya uhujumu uchumi na ile ya kuwatia watu kizuizini- yaani Sabotage Act na Prevention and Detention Act.
 
1984 BOT INAUNGUWA MOTO.
1985 MZEE MWINYI ANKUWA RAIS WA JMT NA MWALIMU JKN ANABAKI KUWA MWENYEKITI WA CCM TU.
Sijui ni nchi ngapi ktk dunia hii centro bank imewahi kuunguwa moto yote kama ilivyo unguwa BOT?

Sielewi ni nchi gani imewahi kuungul
Akarudi kuangalia tena facts.

Mzee Cleopa Msuya ndie aliekuwa waziri wa fedha mwaka huo wa 1984.

Mzee Msuya alikuwa waziri wa fedha katika awamu ya kwanza tangu mwaka 1983 hadi 1985.

Hiyo ilikuwa ni baada ya kuwa waziri mkuu wa muda baada ya kifo cha marehemu Sokoine.

Mwaka huohuo wa 1985 baada ya mzee Mwinyi kuwa rais aliiongezea majukumu wizara hiyo ya fedha na kuwa Wizara ya fedha uchumi na mipango na mzee Msuya akawa waziri hadi mwaka 1989.

Baadae tena mzee Msuya akaendelea kuwa waziri tena wa fedha kuanzia 1989 hadi 1990.

Marehemu Steven Kibona ndie alikuwa waziri wa fedha kati ya 1990 na 1994.

Marehemu Kighoma Malima alishika nafasi hiyo mwaka 1994

Ikumbukwe kuwa wakati mzee Msuya akiwa waziri wa fedha katika kipindi hicho chote marehemu Kighoma Malima alikuwa ni naibu wake.

Kama kuna wale wanaokumbuka ndege iliyokuwa imembeba mzee Msuya ikitokea Mwanza ilitekwa nyara na vijana wa kitanzania akina Memba na wenzake na kuelekezwa iende London Uingereza mwaka huo wa 1984.

Ni mwaka ulioleta dhahama kwa hayati mwalimu likiwemo tukio la kujitoa kwenye EAC, IMF walikuwa wamemwambia hayati Mwalimu apunguze thamani ya shilingi ya Tanzania na pia serikali ilikwishatunga sheria ya uhujumu uchumi na ile ya kuwatia watu kizuizini- yaani Sabotage Act na Prevention and Detention Act.
Upo sahihi kabisa. Waziri aliyedoma budget bungeni June 1984 alikuwa ni Cleopa Msuya
 
Ukipata jibu usisahau kuuliza aliyechoma Ikulu miaka ya mwanzoni mwa 2000,walisema chanzo chake ni moto wa pasi.
Wale waliokuwa na kili nadhani wanakumbuka tukio hili,si kwamba ikulu iliungua yote ila sehemu fulani iliungua.
sehemu gani iliungua
 
Akarudi kuangalia tena facts.

Mzee Cleopa Msuya ndie aliekuwa waziri wa fedha mwaka huo wa 1984.

Mzee Msuya alikuwa waziri wa fedha katika awamu ya kwanza tangu mwaka 1983 hadi 1985.

Hiyo ilikuwa ni baada ya kuwa waziri mkuu wa muda baada ya kifo cha marehemu Sokoine.

Mwaka huohuo wa 1985 baada ya mzee Mwinyi kuwa rais aliiongezea majukumu wizara hiyo ya fedha na kuwa Wizara ya fedha uchumi na mipango na mzee Msuya akawa waziri hadi mwaka 1989.

Baadae tena mzee Msuya akaendelea kuwa waziri tena wa fedha kuanzia 1989 hadi 1990.

Marehemu Steven Kibona ndie alikuwa waziri wa fedha kati ya 1990 na 1994.

Marehemu Kighoma Malima alishika nafasi hiyo mwaka 1994

Ikumbukwe kuwa wakati mzee Msuya akiwa waziri wa fedha katika kipindi hicho chote marehemu Kighoma Malima alikuwa ni naibu wake.

Kama kuna wale wanaokumbuka ndege iliyokuwa imembeba mzee Msuya ikitokea Mwanza ilitekwa nyara na vijana wa kitanzania akina Memba na wenzake na kuelekezwa iende London Uingereza mwaka huo wa 1984.

Ni mwaka ulioleta dhahama kwa hayati mwalimu likiwemo tukio la kujitoa kwenye EAC, IMF walikuwa wamemwambia hayati Mwalimu apunguze thamani ya shilingi ya Tanzania na pia serikali ilikwishatunga sheria ya uhujumu uchumi na ile ya kuwatia watu kizuizini- yaani Sabotage Act na Prevention and Detention Act.
Nashangaa sana hizi taarifa sijui mnazipata wapi wadau. Hivi kweli akina Memba na jamaa zake wameteka ndege ya ATC na kuipeleka Uingereza mwaka 1984?! Hapana. Hiyo ndege imetekwa mwezi March, 1982. Na unatwambia jumuiya ya EAC ilikuwepo mwaka 1984????? What a joke!

Hayo majibu mengine kuhusu mawaziri waliopita pale wizara ya fedha andika "minister of finance (Tanzania)" kisha u search kupata facts.
 
Mtoa mada anataka kujua nani aliichoma moto BOT badala ya kumpa jibu mnaanza kulumbana nani alikuwa na wadhifa gani wakati huo. Waswahili tujifunze kujibu maswali kwa usahihi badala ya kupiga chenga nyingi. Hata mimi sijui nani aliichoma moto benki hiyo ila nitafurahi nikipata jibu mujarabu.
Hii! Please be sure that you guys are not opening a can of worms!
 
kwa nini mwanasheria nguli mr mkono amkimbie nyerere na nchi baada ya tukio hili?
 
Ilisemwa kuwa ilikuwa ni short ya umeme tu mkuu, ilitokea ghorofa ya pili.

Hivyo baadae watumishi kadhaa walifikishwa mahakamani kwa kusababisha moto na baadae wakaachiwa.

Lakini hadi kesho hakuna anaefahamu chanzo cha moto ule, na nafikiri ile kesi imefungwa.
Ahsante sana mkuu, hii historia nilikua sihifahamu. Angalau sasa najua.
 
Sasa hapo ndio unataka kupotosha jamii kwa makusudi.
Hebu nakuomba uniambie. Ni waziri yupi aliyedumu kwada mrefu? Hivi unajua luhusu Waziri wa fedha Jamal?
Ukishamjua niambia huyo waziri Malima alianza lini uwazir!!!?

Kighoma Malima alianza 1985. Nakumba usiwapotoshe watu kuna watu hawajui hayo.
we jamaa mbishi na mpotoshaji...unapotosha kwa faida gani? nimesoma mabandiko yako ikabidi nizame google kidogo, nilichokuta huko ni wazi kimeanika uongo wako...hebu fungua hii link hapa halafu njoo bisha tena Minister of Finance (Tanzania) - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Habari wakuu wa jamvi

Mliokuwepo miaka hiyo ya zamani tujuzeni ni akina nani waliosuka mpango wa kuunguza benki kuu ya Tanzania ( BoT ) na walikuwa na dhumuni gani hasa? Je walikamatwa? Na kama walikamatwa hukumu zao zilikuaje?

Tujuzeni ili tuweze kujua kwa faida ya kizazi hiki na kijacho hasa ukizingatia historia na mambo mbalimbali yaliyowahi kutokea huko nyuma kuhusu Taifa letu yanafichwa na kufanywa siri kubwa sana!!

Karibuni wakuu...
Inaonekana unajua zaidi kijana,hebu malizia taarifa yako viziri maana binafsi sijui kuwa kumbe BOT ilishawahi chomwa..karibu sana tena...tunakusikiliza mkuu
 
Wachaga wameanza zamani sana kutuibia hii nchi.
 
Sita umchafue Malima kwa manufaa yako. Hebu soma hapa:
Mawaziri 16 wa fedha walioifikisha Tanzania ilipo sasa tangu
hata hii link uloweka mbona bado inaonyesha malima aliingia wizara hiyo mwaka 1983? hapo mwandishi alipoandika ("ilipobakia miaka miwili kabla ya mwalimu kung'atuka katika uraisi 1985 (miaka miwili kabla maana yake si ni 1983) alimteua Profesa Kighoma Malima kuwa waziri wa fedha") au wewe mwenzetu unasoma kinyume?
 
Back
Top Bottom