Basi la kiHindi aina ya TATA limepwelea kwenye pikipiki ya kiJapani aina ya HONDA.
Mkuu unaleta ujumbe gani?
Basi la kiHindi aina ya TATA limepwelea kwenye pikipiki ya kiJapani aina ya HONDA.
Mkuu unaleta ujumbe gani?
Nahisi basi lilikua limesimama afu pikipiki ikarudi reverse ndo yakatokea maafa
you never know, lolote linawezekana china.Hivi pikipiki siku hizi zinarudi reverse?
Hivi pikipiki siku hizi zinarudi reverse?
Aisee ngoja ni-google hii!
you never know, lolote linawezekana china.
Usijali kuhusu hili, itawezekana tu, mbona redio kaseti ina vigurudumu viwili lakini unaweza ku rewind kanda.Jamani hapana mfumo wa tairi mbili hauruhusu mechanism ya reverse labda kwa tech ya kisasa ambayo hata hivyo inabidi modifications