Chiu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 375
- 112
Hivi pikipiki siku hizi zinarudi reverse?
mkuu Wapoti labda uniambie badi limetengenezwa kwa mabox ndo ntakubali au ukubaliane na Mimi kua yametokea maajabu pikipiki ikarudi reverse
Hivi pikipiki siku hizi zinarudi reverse?
Totos Boss funali ndio nini? Au umechapia ulitaka kusema fulani?Maajabu yanayowezekana katika mazingira funali
Totos Boss funali ndio nini? Au umechapia ulitaka kusema fulani?