Ni ajabu, askofu anaepaswa kua na mke mmoja hana mke, sisi ambao sio maaskofu tunalazimishwa kua na mke mmoja.

Mleta uzi haamini kama kuna Mungu, nashangaa huyu mpagani kuhoji mambo ya wakristo.

Hakimu mfawidhi kama hujapata kadi ya mchango wa harusi ya mond & natasha plz wasiliana na bashite hujachelewa, hiyo ndiyo fani yako, hoja ya askofu kuwa single haikufit
 
Back
Top Bottom