hahaahahaahahnimecheka..eti mkuyu
hahaahahaahahnimecheka..eti mkuyu
Sijui jina View attachment 946533
😂kuna m1 hapo juu kaweka...ila sina hakika kama kuna miti pale yafaa kwa garden..mingine yafaa kupandwa shambaa😥jamani wekeni picha....if you dont mind!
tunaomba jamani!
View attachment 946595mharadali una kivuli kizuri sana ukikua... 6mths tu unaanza kuweka kivuli..mradi umwagilie maji mengiii
Hadi uje uote upate kivuli chake, na kuzeeka usha zeeka
Piga banda
Miti hy hapo yote unaweza lima shamba, mtazamo wangu japo lengo anataka miti ya kivuli kwa bustani ya nyumbani, Sio dhambi akipata kivuli na matunda pia, unapanda mti mmoja mmoja ya matunda tofauti tofauti, utapata kivuli na matunda pia. Be multipurpose.kuna m1 hapo juu kaweka...ila sina hakika kama kuna miti pale yafaa kwa garden..mingine yafaa kupandwa shambaa
Huu mti naujua....
Unauzwa sana hizi bustani za barabarani....kumbe ni classic mti namna hii....
Ni kama naona sisimizi wanaupenda sana aisee,na wale wadudu weupe wa kwenye majani...Au ni fumigation tu inatakiwa?
Huu utakubali na huku mabwepande mana unaonekana wa kishua
only fumigation..yes unauzwa sana alafu bei bure 1000
Huu utakubali na huku mabwepande mana unaonekana wa kishua