Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

Guus

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
1,078
2,000
Asisahau pia Mkomamanga, mbalungi, mlonge na angalau hata mti mmoja wa kienyeji,napendekeza awake Mlumdalunda au mtundwa.

Baada ya kuitumia google ndiyo nimegundua mbalungi ni grapefruit. Na ndiyo pia napata nafasi ya kujifunza kuna tofauti ya grapes na grapefruits...Hahaha!!
 

Lombo

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
4,811
2,000
Kuna mti,Niliuona unaitwa ...Mvunja Genge ....Nani anafahamu ,faida zake Ni zipi!
 

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,218
2,000
Huo mti Ni miezi sita tu umefungamana ila popo na ndege wengine wanapenda kula matunda yake ila hawaweki makao ...ndio mharadali huo ..kwa kudondosha majani haujambo ...ila mizizi yake haiwezi kuvunja ukuta hata Kama unaotesha jirani na nyumba ...

Mi naipenda .nimefunga taa ya whatt 9 kwa hiyo popo hawasogei
JPEG_20201206_171242_2963635192706662825.jpg
 

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
11,562
2,000
Hii nitapata wapi Ndg, na inakubali kwa hali ya Dar.?
Fanya hivi

Kama una credit card ya CRDB au BancABC,etc,ingia websites za Ulaya au America,nunua utatumiwa Tanzania kwa ndege kwenye box

Tanzania hizi breed hakuna,watu hawana akili ya ku-import exotic items kama hizi
 

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
10,280
2,000
Kuna mti,Niliuona unaitwa ...Mvunja Genge ....Nani anafahamu ,faida zake Ni zipi!
Hauna faida,vitunda vyake vikipasuka hilo eneo hakai mtu vinanuka hatari tukiwa watoto tulikuwa tunatumia kuvunja mikusanyiko ukikipasua watu wanatawanyika vinanuka hatari.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom