Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

Ongeza na limao hutojuta
 
Huu kwenye joto unaeza goma kustawi

Ni kweli ila sisi tunao Moshi milimani kule kabisa ndio maana nikauweka hapa kama kuna ambae yupo interested!

Nadhani pia maeneo ya Rungwe huko au Mufindi,etc unaweza kustawi vizuri

Definitely not Dar at all!
 
hali ya hewa mkuu, joto kali
 
Mkuu hiyo sio bustan ya maua ni shamba ilo
 
Bustan gani ina migomba, mipapai, miembemikungumanga, mipesheni n. K
Mi niliamu hivyo kwa sababu za kiuchumi,kuwa ni bora nipoteze maji/garama kwa kitu kinachonipatia matunda, zaidi ya kivuli tu
 
kuna mti mie ninao kwangu ila bado mdogo huu mti nasikia waarabu na wapemba wanaupenda sana ..jion unatoa harufu nzuri sana sana ht ukikata jani.lake utaisikia ile harufu.. utafte huo..nimeusahau jina..una majani mapana
Ninaujua, lkn hauwafai watu wote. Kama una watoto wana mzio na manukato utahangaika sana kuwatibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…