Ni aina gani ya miti inafaa kwa bustani ya nyumbani?

Miti ya matunda ni mizuri zaidi kuliko hiyo ya kivuli tu;niliotesha ya kivuli baadaye nikagundua nimepotea njia kwani unit za maji zina soma na mti hauna faida zaidi ya kivuli.nikaamua kuotesha migomba,parachichi,komamanga,mipera,mpasheni,maembe mbegu fupi ili inipe kivuli pamoja na matunda....najaribu kutafuta mche wa apple niuoteshe pia.
Ongeza na limao hutojuta
 
1121144

Hii miti huwa naipenda sana sana. Ina harufu nzuri pia
 
Huu kwenye joto unaeza goma kustawi

Ni kweli ila sisi tunao Moshi milimani kule kabisa ndio maana nikauweka hapa kama kuna ambae yupo interested!

Nadhani pia maeneo ya Rungwe huko au Mufindi,etc unaweza kustawi vizuri

Definitely not Dar at all!
 
hali ya hewa mkuu, joto kali
Naujua bana..kumbe ndio mharadali..I thought mharadali is a fictional tree kutoka kwenye kitabu chenu nyie wapenda mungu!

Ila nikipata hela lazima ninunue miche ya mbele ije kwa ndege airport nikapande...Mbele ni aibu kwa miti acha kabisa!

Whether zinakubali either way,maana ukichukia Italy au LA au hata Miami ni nearly the same!
 
Miti ya matunda ni mizuri zaidi kuliko hiyo ya kivuli tu;niliotesha ya kivuli baadaye nikagundua nimepotea njia kwani unit za maji zina soma na mti hauna faida zaidi ya kivuli.nikaamua kuotesha migomba,parachichi,komamanga,mipera,mpasheni,maembe mbegu fupi ili inipe kivuli pamoja na matunda....najaribu kutafuta mche wa apple niuoteshe pia.
Mkuu hiyo sio bustan ya maua ni shamba ilo
 
kuna mti mie ninao kwangu ila bado mdogo huu mti nasikia waarabu na wapemba wanaupenda sana ..jion unatoa harufu nzuri sana sana ht ukikata jani.lake utaisikia ile harufu.. utafte huo..nimeusahau jina..una majani mapana
Ninaujua, lkn hauwafai watu wote. Kama una watoto wana mzio na manukato utahangaika sana kuwatibia
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom