Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,042
- 9,799
Ongeza na limao hutojutaMiti ya matunda ni mizuri zaidi kuliko hiyo ya kivuli tu;niliotesha ya kivuli baadaye nikagundua nimepotea njia kwani unit za maji zina soma na mti hauna faida zaidi ya kivuli.nikaamua kuotesha migomba,parachichi,komamanga,mipera,mpasheni,maembe mbegu fupi ili inipe kivuli pamoja na matunda....najaribu kutafuta mche wa apple niuoteshe pia.
Hii miti popo wanaipenda sanaView attachment 946595mharadali una kivuli kizuri sana ukikua... 6mths tu unaanza kuweka kivuli..mradi umwagilie maji mengiii
Huu kwenye joto unaeza goma kustawi
Huu kwenye joto unaeza goma kustawi
Naujua bana..kumbe ndio mharadali..I thought mharadali is a fictional tree kutoka kwenye kitabu chenu nyie wapenda mungu!
Ila nikipata hela lazima ninunue miche ya mbele ije kwa ndege airport nikapande...Mbele ni aibu kwa miti acha kabisa!
Whether zinakubali either way,maana ukichukia Italy au LA au hata Miami ni nearly the same!
Mkuu hiyo sio bustan ya maua ni shamba iloMiti ya matunda ni mizuri zaidi kuliko hiyo ya kivuli tu;niliotesha ya kivuli baadaye nikagundua nimepotea njia kwani unit za maji zina soma na mti hauna faida zaidi ya kivuli.nikaamua kuotesha migomba,parachichi,komamanga,mipera,mpasheni,maembe mbegu fupi ili inipe kivuli pamoja na matunda....najaribu kutafuta mche wa apple niuoteshe pia.
kwa nini mkuuMkuu hiyo sio bustan ya maua ni shamba ilo
kwa nini mkuu
Mi niliamu hivyo kwa sababu za kiuchumi,kuwa ni bora nipoteze maji/garama kwa kitu kinachonipatia matunda, zaidi ya kivuli tuBustan gani ina migomba, mipapai, miembemikungumanga, mipesheni n. K
Mi niliamu hivyo kwa sababu za kiuchumi,kuwa ni bora nipoteze maji/garama kwa kitu kinachonipatia matunda, zaidi ya kivuli tu
Wooooh
Sawa sawa kabisa, tena huu aupande dirishani karibu na kitandaUpupu
Ninaujua, lkn hauwafai watu wote. Kama una watoto wana mzio na manukato utahangaika sana kuwatibiakuna mti mie ninao kwangu ila bado mdogo huu mti nasikia waarabu na wapemba wanaupenda sana ..jion unatoa harufu nzuri sana sana ht ukikata jani.lake utaisikia ile harufu.. utafte huo..nimeusahau jina..una majani mapana
Linapunguza stress yako au stress yake?for your information ... hili ua linapunguza stress ukiwa nalo karibu yake
View attachment 1052809
Basi Mbagala haufai, maana ni joto 24/7 x 52Ipo Moshi milimani huko panaitwa mamndenyi,ni baridi 24/7/365!
Basi Mbagala haufai, maana ni joto 24/7 x 52