Ni aibu kwa USA kutotambua Uislam katika sherehe za kuapishwa kwa Trump

Status
Not open for further replies.
Nchi za Uarabuni huwa zinatambua Ukristo kwenye Sherehe za Kuapishwa?

Ni swali zuri. Nadhan tunapotoa lawama tuone na upande wa pili. Nchi kadhaa za kiislamu si tu kwamba hazifanyi hivyo bali hazurihusu kabisa dini nyingine zaidi ya uislamu. Hii haimaanishi kuwa na huko Marekani wafanye hivyo kama kulipiza kisasi au kukomoa, bali ni kuhakikisha kuwa haki za watu hazivunjwi. Kwa maoni yangu, kupewa nafasi ya kuomba siyo issue sana ukilinganisha na kuwanyima watu fursa na uhuru wa kuabudi dini zaidi ya uislamu kama wanavyofsanya baadhi ya nchi za kiislamu duniani. Mfano, huko Iran na Saudi Arabia hata ukijulikana kuwa wewe ni mkristo ni hatari tupu
Si kweli,wasaudia na wairani wako dunia nzima,kama kwao hawaruhusiwi si wangeikia ukristo wakiwa nje ya nchi zao.
 
Qur'an inautambuwa ukristo,na umetajwa kwenye Qur'an,itakuwa waarabu wanayoisoma Qur'an.Ukiona mtu au taifa au kitabu,hakitambui mambo yaliyopo duniani,ujuwe mtu au taifa au kitabu hicho kina walakini.Uwelewa wa wahusika ni mdogo
Saudi Arabia kuna makanisa?,tuanzie hapo kwanza
 
Kawaida tu mbona! Wamarekani ni wastaarabu sana. Umesema hawautambui uislamu lakini wameakaribisha waislamu na wamejenga misikiti kwa ajili ya ibada zao. Wàkati hapa Tanzania hasa Zanzibar wanachoma moyo makanisa na kudhuru wakristo. Nchi za kiislamu hawaruhusu hata uhuru wa wakristo kuabdu sembuse kujenga makanisa! Uislamu umejawa na hamasa ya chuki dhidi ya wakristo waziwazi tunawasikia mnapotoa mawaidha siku za Ijumaa.
Yaani kwa kifupi ni dini inayolindwa na wanadamu, wangetupa uhuru tukaendeshe mikutano ya injili wengi wangekuja kwa Yesu lakini sasa wakukute ata unaomba au ubadili dini tu wanakumaliza sasa unajiuliza dini gani ya kulazimishana?
 
Uislamuni huwa wanaalika Wakristo waombe wanapofanya mambo yao?

Hao waislam, kama wananjaa ya kuomba, wanahaja gani ya kusubiri kwenye kuapishwa? kwani mungu wao hawezi kusikia hadi wawe na mic au hadharani ndipo asikie?

Masuala ya maombi ni imani. Je kama aliyekuwa anaapishwa hataki kuombewa kwa mungu wa hivyo, kwa nini wao walazimishe?

Kama ni kuombea nchi ya Marekani, waendelee tu kwa muda wao na kama wanaomba kwa Mungu, bila shaka atawasikia, lakini kama wanaomba kwa hallal , hata wangeweka vipaza sauti Marekani nzima isikie, huyo halla, hawezi kuisaidia Marekani wala nini..

Kazi yake ni kuchinja, kuiba na kuharibu. Bila shaka unaon uharibifu anaoufanya kila anapokanyaga wayo wa mguu wake.
Well said Tabby
 
Tatizo sio kubadili dini,tatizo wakristo wanatoa rushwa ya chakula,motumba,kazi,elimu,kubadilisha watu dini.Na rushwa ni adui wa haki.Hapa hukumu ni ya mtoaji na mpkeaji rushwa.
Ndiyo mnavyojidanganya!!! Mkiwa pekee yenu. Mbona huo sio ukweli, kumbe upendo ni rushwa, mbona hayo kila mtu mwenye utu anafanya!!!
 
Muongo wewe...zanzibar haichomi makanisa. huijui zanzibar wewe. Nennda kajifunze ustarab ubinadam usiropike tu.
kwanza znz ni 96% waislam lakini kwenye shughuli kama hizi mapadri hupewa nafasi.
hao 4% wana holidays zao.
radio znz zinawapa muda wao kurusha ibada zao kila jumapili.
hao 4% wapo serikalini bungeni
hao 4% wanaishi jirani na 96% pamoja na wanazikwa nao...
hao 4% wapo znz na hata kufata mavazi ya kizanzibari...ya heshima badala kukaa uchi.
mimi nakupa challenge huko bara waislam kama sio wabunge kutoka znz basi bunge lingekua la wakristo watupu kwa ubaguzi.
usifunue makaburi hapa
Je ninaruhusiwa kuendesha mkutano wa injili Zanzibar?
 
Udanganywa mjinga kama wewe,yeye mwenyewe Trump bila nchi za kiislamu na za kiarabu,hawezi kutawala.Biashara atafanya na nani.Nchi zenye pesa ni nchi za kiarabu,ndio wanunuzi wakubwa wa bidhaa za marekani.
Kama kupiga kichwa chini hats Yesu alipiga kichwa chini,akasujudu.Nenda kasome biblia.
Unadanganywa na ukadanganyika,Marekani bila kifuata nchi za kiislamu,hakuna marekani.
Hapo umetudanganya, Marekani limekua taifa lenye nguvu kabla ata hizo nchi za kuarabu hazijapiga hatua ya kimaendeleo, pili kaulize nchi za kiharabu technology wametoa wapi ni kwa urusi na Marekani plus ulaya kabla China hajaibuka.
 
Hapo umetudanganya, Marekani limekua taifa lenye nguvu kabla ata hizo nchi za kuarabu hazijapiga hatua ya kimaendeleo, pili kaulize nchi za kiharabu technology wametoa wapi ni kwa urusi na Marekani plus ulaya kabla China hajaibuka.
Hajakudanganya, ndivyo alivyofundishwa. Kuna watu wanapata mafundisho ya ajabu ajabu, kuna mmoja nilimsikia akifundisha eti kuna vidonge na vipini vidogo vyenye kubeba taarifa vinaingizia na kukwekwa kwenye ubongo!!! Kuna sumu watu wanalishwa huko!!! Mungu ataamua kwa haki
 
  • Thanks
Reactions: PNC
c3e59cf2b28bf966e6c66a83e77b6737.jpg
ndio kishakuwa rais huyo zimebakia kelele tu
Swali jepesi,,,kama Trump hapendwi na wa marekani,,,idadi ya kura zilizomfanya amshinde Hillary alipigiwa na nani?
 
Yaani kwa kifupi ni dini inayolindwa na wanadamu, wangetupa uhuru tukaendeshe mikutano ya injili wengi wangekuja kwa Yesu lakini sasa wakukute ata unaomba au ubadili dini tu wanakumaliza sasa unajiuliza dini gani ya kulazimishana?
Dini ya majini
 
Swali jepesi,,,kama Trump hapendwi na wa marekani,,,idadi ya kura zilizomfanya amshinde Hillary alipigiwa na nani?
Walisema hayo maneno kuwa hapendwi, kabla ya kuwa mteule wa Republicans, akachaguliwa kuwa mgombea. Wakasema tena hapendwi, akachaguliwa kuwa Rais, wakasema kaiba. Nikasubiria kura zao zile za Electorate College kama watampiga chini au la. Hao nao wakamthibitisha. He is a legitimate President. He is USA's President, mpende msipende keshakalia kiti
 
Hili la rushwa inategemea unaliangalia vipi kiongozi. Kwa mfano (wajuzi watanirekebisha nilipokosea) nafahamu kwamba waarabu walitangulia wazungu kuitawala Africa yetu..wafahamu approach walizokuwa wanatumia kuwafanya waafrika waingie katika dini ya kiislam?naelewa kuwa uislam una ustaarabu wake na elimu yake kwa karne nyingi, je ni kwann sehemu walizokaa waarabu hapa kwetu hakukuwa na hizo shule ambazo unasema wakristo walitoa rushwa kuwavutia waislaam?manake nilitegemea mpaka mda mzungu anakuja huku basi angekuta vyuo na shule nyingi alizoacha mwarabu
Wao walileta Mazuria mikeka na kurani tu.mzungu kaleta elim
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom