Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,865
- 89,793
wow, ni wadada wachache sana wanafanya hivo
mimi ndoto yangu ni kucheza gta 5 ,saivi nacheza san andreas sababu pc hainauwezo
Hata mimi la kwangu hili NFS linasumbua siku hizi...nikianza kucheza inajitoa sijui nini tatizo
Hata hilo San andreas inaonekana zuri mana mie napenda sana race games