Chief Editor
JF-Expert Member
- Feb 18, 2019
- 777
- 2,271
Kimara
Kupiga puchu.Aisee kwenye maisha kuna mambo ukizoea kuyafanya baadae yanageuka tabia, yanageuka hulka na mwenendo wa maisha.. *Addiction* ni moja ya vitu vigumu sana kuvikimbia..
Mimi hulka ya kunywa soda kila mara nimeshindwa kabisa kuiacha..
Hebu tuambie addiction yako ni ipi ???pengine tutasaidiana kuziacha..
Wahi hospitali wallahSababu yoyote ile kuna mda natamani niwe mkavu usoni ila najikuta machozi yamefunika uso tayari.
Asante kwa ushauri wallahWahi hospitali wallah
Vinginevyo kama si ugonjwa basi utakuwa na nyota ya misiba wallahAsante kwa ushauri wallah
Kama Leo msiba wa Mengi nimelia sana wallahVinginevyo kama si ugonjwa basi utakuwa na nyota ya misiba wallah
Wa Ruge nasikia ulilia mpaka meno yakatoa jasho wallahKama Leo msiba wa Mengi nimelia sana wallah
😀😀😀😀 Nitakuwa na tatizo gani wallahWa Ruge nasikia ulilia mpaka meno yakatoa jasho wallah
wow, ni wadada wachache sana wanafanya hivoNeed For Speed Most Wanted
AisePonografia
Njoo nikukague wallah...😀😀😀😀 Nitakuwa na tatizo gani wallah
Nafanya uwakilishi!Hahahaaa hongera. Wakilisha wanaume wengine
Pm bossAddiction yangu kuplay piano ma kusikiza music hususani ngoma za gospel kina travis green jonathan mcreynolds jonathan butler jj hairstone marvin sapp hillsong nk