phytoscience
Member
- Sep 30, 2017
- 12
- 7
Napenda kuwapongeza sana kwa kuleta vifurushi mbalimbali ambaza kwa ukweli italeta tija kwenye ujenzi wa taifa.
Ila nilikuwa na jambo moja ya kushauri shida kwenye kifurushi cha awali haikuwa sana kwenye fedha ila ilikuwa ni jinsi ya kulipa ni kwamba wafanyakazi wanachangia kila mwezi, ila watu binafsi bado mnataka kulipwa hela yote kwa pamoja.
Ninashauri kwa jinsi teknolojia ilipofika ambayo mnayo kwenye mfumo wenu ruhusuni watu binafsi nao wachangie mwezi kwa mwezi ila mwezi wa kwanza wanaweza kuchangia miezi miwili.
Hii itasaidia watu kuchukua kifurushi ambacho kitakuwa ni kikubwa na inaleta uhalisia kwenye jamii yetu. Kuliko hii ya kutaka mtu kulipia hela yote kwa mkupuo yaani mwaka kifurushi chake.