NHIF call for Interview

Pamoja sana ! Mi ntatokea kwan application nlpeleka kwa mkono nanlpofka 2lkuwa wengi 2kambiwa zitoeni kwene bahasha nakusanya pale. Ko mie ntatokea nliomba post ass. Account.
hi lini watafanya interview ass.Account
 
Tangazo la interview hili hapa
NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND
CALL FOR INTERVIEW
National Health Insurance Fund (NHIF) do hereby invites ALL applicants who applied for various posts in the Fund as per advertisements made in news papers on 16th December, 2013 to appear for written interview to be held at Tanzania Episcopal Conference Center (TEC), Kurasini, Dar es Salaam as per Time Table and conditions specified below:
TIME TABLE

DATETIMEPOSTHALL
24.03.20149:00 AMCompliance and Field Operations Officer IIIAMECEA & No. 85
25.03.20149:00 AMMembership Officer IIIAMECEA & No. 85
26.03.20149:00 AMAssistant Accountant IIAMECEA & No. 85
26.03.20142:00 PMInternal Auditor IIIAMECEA & No. 85
27.03.20149:00 AMClaims Officer IIAMECEA & No. 85
2:00 PMQuality Assurance Officer IIINo. 85
2:00 PMPharmacist IIINo. 86
28.03.20149:00 AMSystem Administrator IIIAMECEA
"""Risk Officer IIINo. 85
28.03.20142:00 PMPersonal Secretary III
Receptionist III
No. 85 &AMECEA (respectively)
29.03.20149:00 AMDriver IIIAMECEA
CONDITIONS FOR ATTENDING THE INTERVIEW:
A: Applicants who do not meet the following conditions SHOULD NOT appear
for the interview:
1. All applicants who do not meet qualifications specified in the vacancy
advertisement,
2. Applicants whose application letters were not handwritten,
3. Applicants who did not submit their PHOTOGRAPHS along with application letters
B: All applicants are required to observe the following:
1. One applicant should appear for interview for ONLY one post. Appearance for
interview to more than one post shall disqualify the applicant forthwith.
2. All applicants should come with their original academic and/or professional
certificates. Those without original certificates shall not be accepted.
3. All applicants should observe time; those who come 15 minutes after the
indicated time will not be allowed to enter the interview room.
4. Candidate must meet their own expenses for coming to the interview. NHIF shall
not be responsible for refunding any candidate expenses incurred in respect of
attending these interviews.
5. Submission of any FORGED certificate/document will lead to severe legal actions.
NB: Excuses regarding these conditions shall not be entertained.
This advert can also be found in our website:
National Health Insurance Fund
Issued by:
Acting Director,
National Health Insurance Fund (NHIF),
P.O.Box 11360,
DAR ES SALAAM.
 
Kwani mshahara wenyewe wanalipa shilingi ngapi mbona wasumbufu namna hii???
 
Sasa bila kuweka shortlisted applicants inakuwaje tena?
yaani mtu ufike ndo urudishwe aisee, what kind of organisation is this?

hv hawa watu wana Hrz kweli ?mtu atokee mwanza,bukoba ajee aambiwe ukumbini amechujwaaa,yan ni ushuzi mtupuuu
 
Mimi mwenyewe nimeona nikashangaa,haiko poa sana,na vigezo walivyoweka pale ni vile vile vya kwenye application,kuwa uwe ulikidhi vigezo vya nafasi uliyoomba,uwe uliandika barua kwa mkono pia uwe uliambatanisha passport size,kazi kweli kweli.
wengine tushasahau hata post tulizoaply......
 
Haya attachment ya TANGAZO LA INTERVIEW hilo hapo! KAZI KWENU!
 

Attachments

  • TANGAZO LA INTERVIEW.pdf
    175.7 KB · Views: 194
Me nipo mkoani lakini lazima nije kwenye interview ila wasiwasi wangu ni kwamba tutakuwa wengi sana isijetokea kama ya Nigeria.

Bora tu wangeshortlist majina kwani hawa hawana ile ''Only shortlisted candidate will be contacted for interview''.
 
nimesoma mara mbil mbil sion ppst niloapply nikasema labda nimesahau niliapply nin,nikaenda kwenye tangazo lao nimekuta planning and investment officer 1post,,itakuwa kapewa mtu nafasi,,ila naamin waliaapply weng hiyo post,km wameona kwenye usail ipp,naomba wanijulishe ila mm sijaona

ni kweli haipo ndugu
 
NHIF wametoa tangazo la kuita watu kwenye Interview, liko kwenye gazeti la Mwananchi la leo(tarehe 14,Machi 2014) ukurasa wa 34, hawajatoa majina ila wameweka vigezo vyao pale na wakaandika kama una hakika ulitimiza hivyo vigezo basi unakaribishwa kwenye interview, katika kila post wameweka tarehe, muda na ukumbi wa kufanyia interview, eneo la tukio ni Tanzania Episcopal Conference Center (TEC), Kurasini.

maswali gani kwenye field operation officer wadau mim nitaenda hivyo hivyo nitaenda kujua huko kama nipo ama la
 
asa watu tumeappy nafasi zaidi ya moja tutafanyaje huo usaili,mishirika mingine bwana,wanalipana mishahara mikuuubwaaa lakini mifanyakazi yao hata akili hawana,hivi wanapofanyaga maamuzi huwa wanafikirisha bongo zao kweli,mitambi mikuubwa kichwani ziro
 
asa watu tumeappy nafasi zaidi ya moja tutafanyaje huo usaili,mishirika mingine bwana,wanalipana mishahara mikuuubwaaa lakini mifanyakazi yao hata akili hawana,hivi wanapofanyaga maamuzi huwa wanafikirisha bongo zao kweli,mitambi mikuubwa kichwani ziro

Duuuh!!
Kaaaazi kwelikweli.
 
Jaman msaada kwa anajua format ya maswal ya written interview ya post ya ass. Account. Thanks in advance and your time as well as consinderation.
 
wana jf,
kinaendelea nini na swala la interview iliyofanyika
mdau anayefahamu tafadhali.
 
Kama wameshindwa kuchambua barua na CV, will they be able to mark what the candidates are going to sit for?????
Jaman let us be serious on this, nafkiri kama kuna vyombo vya kusimamia hii taasisi nadhan the whole HR Department should be responsible...What are they paid for??????????

Walipo niacha hoi ni pale waliposhindwa hata kuchapisha maswali tulisomewa kama imla vile yani kwa taasisi kubwa kama ile mpaka leo hii sijawapatia jibu sahihi duh
 
Back
Top Bottom