kama lengo ni kupunguza watu si wangetumia utaratibu mzuri tu ambao hautaleta usumbufu kwa walioomba kazi,huu utaratibu wao utasumbua sana,watu wanaweza kuingia gharama ambazo hazitakuwa na msingi.Hapo wanapunguza watu kijanja...
duuuh,kumbe hadi haya yapo tena...?Mm niliapply planning n investment officer,kwenye list walotoa gazetin haipo,ishachukuliwa?au wameshau?huu usail wizi mtupu
duuuh,kumbe hadi haya yapo tena...?
kwa siku ya leo nitaondoka na hii kauli yako,asante kwa kunikumbusha.There is where the power of positive thinking alive
Sasa bila kuweka shortlisted applicants inakuwaje tena?
yaani mtu ufike ndo urudishwe aisee, what kind of organisation is this?
Kama wataruhusu kila
mtu kufanya interview hapo sawa,hofu yangu ni pale ambapo mtu atafunga
safari toka mkoani kuja halafu anafika siku hiyo anaambiwa kuwa
hakukidhi vigezo,hapo itakuwa tatizo.
Kama wameshindwa kuchambua barua na CV, will they be able to mark what the candidates are going to sit for?????
Jaman let us be serious on this, nafkiri kama kuna vyombo vya kusimamia hii taasisi nadhan the whole HR Department should be responsible...What are they paid for??????????