NHC Morocco square kuanza kuuzwa, vijana tuchangamkie tujipatie nyumba kwa bei nafuu

Memento

JF-Expert Member
Jun 13, 2021
4,423
9,962
Mradi wa NHC Morocco square utaanza kuuza nyumba, hivyo ni fursa kwa vijana tuwahi nyumba hapo kwa Bei nafuu Sana.

Nyumba ya vyumba vitatu ya bei ya chini sana ni Mil 592.

Msije kusema baadae zimeisha Mara hatukujua, changamkia fursa hiyo.

Wale watumishi wa serikali chukueni mkopo fasta mchukue nyumba hizo

Jedwali la Bei chini

20220401_171431.jpg
20220401_171428.jpg
 
Milioni 592 naweza kujenga nyumba zangu mbili au tatu za standard nzuri kabisa na bustani ya upepo ikawepo nje safi.

Magufuli ndio maana aliupotezea huo mradi, kuna uwezekano nyumba nyingi zikawadodea.
Nyumba hzo watanunua waasia zaidi

Ova
 
Milioni 592 naweza kujenga nyumba zangu mbili au tatu za standard nzuri kabisa na bustani ya upepo ikawepo nje safi.

Magufuli ndio maana aliupotezea huo mradi, kuna uwezekano nyumba nyingi zikawadodea.
Huenda ndio Gharama waliojengea nyumba baada ya kuweka % zao kwenye ujenzi, wasipouzia hizo bei hesabu hazibalance.
 
Mradi wa NHC Morocco square utaanza kuuza nyumba, hivyo ni fursa kwa vijana tuwahi nyumba hapo kwa Bei nafuu Sana.

Nyumba ya vyumba vitatu ya bei ya chini sana ni Mil 592.

Msije kusema baadae zimeisha Mara hatukujua, changamkia fursa hiyo.

Wale watumishi wa serikali chukueni mkopo fasta mchukue nyumba hizo

Jedwali la Bei chini

View attachment 2171968View attachment 2171969

Back
Top Bottom