NHC:Kweli sasa wamekuwa COMMERCIALIZED! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NHC:Kweli sasa wamekuwa COMMERCIALIZED!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by trachomatis, Oct 26, 2011.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  NHC inatangaza uuzaji wa nyumba zake mpya[sina idadi]zilizoko Arusha mtaa wa Wachagga. Ukubwa ni sqm165.Master bedroom moja,vyumba vitatu vya kulala,dinning,spacious sitting room,na ina balcony nne. Ulipaji: Bei ni Milioni 175 na laki.....bila VAT.Pamoja na VAT inafika Milioni 200. Itakuwa kwa mtindo wa tenda,ambapo watatoa A/C no na humo unadeposit 10% ya bei. Kisha unatuma slip na maombi yako. Zitafunguliwa siku moja application zote. Atakayeshindwa atarudishiwa fedha zake ama akitaka ataziacha kusubiri programme nyingine kama hiyo.
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwa gharama hizi naamini kabisa watanzania wengi tutaweza kumiliki nyumba
   
Loading...