NHC: Hatujamuonea Mbowe

Mbowe alipe deni full stop.

Hela zote alizouza chama ametumia kuprinti t shirt za UKUTA ,huku akijua UKUTA haupo.!!

Waosha miguu wake mmeanza kutetea kwa ngonjera zisizo na kichwa wala miguu
Mbowe alipe lakini na huyu jamaa ni jipu achunguzwe
 

Atajenga nyumba kwa hela ipi wakati hamtaki kulipa kodi ya pango? Mkiulizwa mnajificha kwenye siasa, na sasa Mwenyekiti wako ametoka na single ya kumiliki jengo kwa asilimia 75. Ogopa wapalestina.
 
Atajenga nyumba kwa hela ipi wakati hamtaki kulipa kodi ya pango? Mkiulizwa mnajificha kwenye siasa, na sasa Mwenyekiti wako ametoka na single ya kumiliki jengo kwa asilimia 75. Ogopa wapalestina.
Mimi si mtetei mbowe wala sijawakuwa chadema lakini huyu jamaa ni jipu!!
 
Atajenga nyumba kwa hela ipi wakati hamtaki kulipa kodi ya pango? Mkiulizwa mnajificha kwenye siasa, na sasa Mwenyekiti wako ametoka na single ya kumiliki jengo kwa asilimia 75. Ogopa wapalestina.
Mbowe alipe kodi lakini na huyu jamaa ni jipu achunguzwe
 
Hapa mkuu unafeli sana.
1:Ulipaswa kuyasema haya kabla hata ya hili suala la mbowe.
2:Utendaji mbovu wa Mchechu ulioudukua hauna uhusiano wowote na kutokulipa kodi kwa kampuni inayomuhusisha kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani.
3:Watanzania tunapotaka mabadiliko, Yanatakiwa kuongozwa na watu ambao hata kama wanatuhuma basi ziwe angalau hazina uthibitisho, lkn kwa mazingira haya. Inabidi yeye mwenyewe aje atuonyeshe kuwa hakukwepa kodi na anasingiziwa kwa ushahidi.
4:Kwa busara ili njia ya Ukombozi wa kweli isijiongezee miiba na mizigo mizito isiyo ya lazima, Ikithibitika beyond dought kuwa alikwepa hata sumni, Basi Hana uhalali wa kusimama kwenye jukwaa lolote la kisiasa, alipe deni na kuendelea na biashara. Ukweli kwamba wapo wengi wanakwepa hauna uhusiano na ukwepaji wa kiongozi kama huyu.

TUNATAKA CONSCIOUS POLITICS sio za UFUASI NA UPAMBE. Usipoelewa leo uelewe hata baadae ukitulia,
 
Habari gani ya upande mmoja ,mnawahoji NHC mnawahoji madalali ,hamumuhoji mpangaji?
 
Kodi anapokea kila siku kutoka wapi kama akina Mbowe wapangaji hawalipi kodi. Mlipeni hizo bilion then mtoe malalamiko kua hajengi nyumba

Ndio huo udhaifu huyo mleta mada anapotaka huyo Mchechu akaguliwe maana deni mpaka kufikia hapo na bado yuko ofisini ni udhaifu wa hali ya juu katika kukusanga kodi. Hilo sakata la Mbowe ni matokeo ya siasa za chuki na visasi ndio maana unaona mkurugenzi wa NHC anaona fahari kupambana na mdaiwa wa kisiasa, kwa lengo la kufurahisha wanasiasa wa kundi lingine bila kujiuliza inakuwaje hawezi kukusanya kodi na bado anakalia ofisi ya umma. Nilitaraji kama suala hili sio la kisiasa tungeona wadaiwa wote wakikutana na madhila hii, lakini kiukweli hata ukichunguza utakuta hata huyo mkurugenzi ana mikataba mingi sana inayoenda kinyume na maadili ya umma na haguswi kisa anajipendekeza kwa watawala. Hapa hakuna cha madai wala nini bali ni siasa chafu na chuki, huku watendaji wakifanya kazi chini ya viwango na kuchezeshwa mziki na wanasiasa.
 
Mkuu ulikuwa wapi siku zote kutujuza hayo mpaka usubiri Mbowe atolewe nje ya nyumba ?
 
Magufuli si ndio aliibia NHC kwa kuuza nyumba kwa wadogo na hawala zake gazeti la RAI mbona liliandika sana hata jina la kimada aliyepewa nyumba walilitaja kesi ya nyani kwa ngedere
 
Mbowe alipe deni full stop.
Hela zote alizouza chama ametumia kuprinti t shirt za UKUTA ,huku akijua UKUTA haupo.!!
Waosha miguu wake mmeanza kutetea kwa ngonjera zisizo na kichwa wala miguu
 
Mkuu hakuna siasa hapo ni swala la mtu kulipa kodi tuu.
 
Hili jambo lina msukumo wa kisiasa. No doubt about it. Wala huhitaji kuwa na PhD ya chemistry kuelewa hilo.
 
tUNAJUA WADAU SUGU WENGI SANA WA NHC, DAWASCO, NA TANESCO MSIHISHIE KWA MBOWE. MKISHIA HAPO NI SIASA IPO SIUKUMTAFICHA SURA ZENU
 
Tutasikia mengi mwaka huu, inaweza fikia ukitaka nyumba za NHC unaulizwa chama gani, Tanzania ni yetu sote
Kama mbowe hatimizi wajibu wake kimkataba mnatarajia aachiwe tu. KILA MTU NI SAWA KWENYE UTAWALA WA SHERIA
 
Mkuu hakuna siasa hapo ni swala la mtu kulipa kodi tuu.

Ndio maana nasema Mbowe alipe na kama hawezi aachie jengo. Ila ni yeye tu anayedaiwa, na kama kweli anadaiwa, huyo mkurugenzi alikuwa wapi muda wote huo mpaka deni likafikia hapo? Je ni kiasi gani nchi inakosa kwa wote ambao hawajalipa kama Mbowe tu ni kiasi hicho? Na inakuwaje bado huyo mkurugenzi anakalia ofisi wakati kuna madeni mengi kiasi hicho? Huoni hapo kuna siasa chafu kama bado kwa udhaifu wote huo mkurugenzi wa NHC anaendelea kukalia ofisi wakati mapato ya nchi yanapotea mikononi mwa kina Mbowe na wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…