Ng'wanakapolo mwanamke aliyetetemesha Magu. Misukule yake ya Kihindi na Kizungu iliwashangaza wengi

Mimi ni mtu wa huko ninachokwambia ndiyo hivyo. Makaburi hayo yako kijiji cha Kabiga wakati huo ilikuwa kiko katika utemi wa Busambilo kabla ya kuhamishiwa utemi wa Msalala mwaka 1947 baada ya Chifu Chasama Mbiti wa Msalala kutengeneza barabara ya kutoka kijiji cha Ligembe hadi bandari ndogo ya Nyamtukuza, baada ya mtemi Ludomya Kihama wa Busambilo kushindwa kutengeneza barabara hiyo, kwa kuwa meli kutoka Mwanza zilikuwa zikienda Nyamtukuza Busambilo. Mtemi wa Msalala akadai eneo hilo lihamishiwe kwenye utemi wake baada ya kutengeneza barabara hiyo na wakoloni wakaridhia na vijiji vyote ilikopita barabara hiyo kuhamishiwa Utemi wa Msalala kutoka utemi wa Busambilo. Baadhi ya vjiji hivyo ni Ligembe, Kakola , Kabiga na Nyamtukuza yenyewe.

Nasisitiza tena kwamba wamisionari hao hawakurogwa bali walipigwa mishale ya sumu na wasambilo wa eneo hilo. Nenda maktaba ukasome utakuta taarifa hizo.

Nadhani unapoongelea ni eneo tofauti na ninaloliongelea. Kumbuka maeneo ya wamissionary ktk maeneo mbalimbali walishambuliwa pia. Unavyotumia kudanganya wewe umekuja na ushahidi upi usio danganya. Au kwa kutamka kwako tu unajiona weye ndo unajua kila kitu.
 
Mimi ni mtu wa huko ninachokwambia ndiyo hivyo. Makaburi hayo yako kijiji cha Kabiga wakati huo ilikuwa kiko katika utemi wa Busambilo kabla ya kuhamishiwa utemi wa Msalala mwaka 1947 baada ya Chifu Chasama Mbiti wa Msalala kutengeneza barabara ya kutoka kijiji cha Ligembe hadi bandari ndogo ya Nyamtukuza, baada ya mtemi Ludomya Kihama wa Busambilo kushindwa kutengeneza barabara hiyo, kwa kuwa meli kutoka Mwanza zilikuwa zikienda Nyamtukuza Busambilo. Mtemi wa Msalala akadai eneo hilo lihamishiwe kwenye utemi wake baada ya kutengeneza barabara hiyo na wakoloni wakaridhia na vijiji vyote ilikopita barabara hiyo kuhamishiwa Utemi wa Msalala kutoka utemi wa Busambilo. Baadhi ya vjiji hivyo ni Ligembe, Kakola , Kabiga na Nyamtukuza yenyewe.

Nasisitiza tena kwamba wamisionari hao hawakurogwa bali walipigwa mishale ya sumu na wasambilo wa eneo hilo. Nenda maktaba ukasome utakuta taarifa hizo.
Duuuh! Out of point. Siongelei hayo maeneo unayoyaongelea wewe. Pia hao watu hawakufa kwa siku moja kwamba wote walipigwa mishale. Makaburi yanatofautiana miaka. Wakati huo kulikuwa na sheria kali. Nadhani hizo hadhithi zako hazihusiani na eneo naloliongelea, usilazimishe mambo. Na usitake niamini unachokiongelea wewe. Make umekazana Geita ilikuwa na eneo kubwa na pana. So usilazimishe. Kama unahadithi zako lete uzi hapa si kulazimisha na hao watemi wako. Usiongelee maktaba, si kila kitu unakuta makitaba. Ukitaka pata hadithi ya eneo ninaloliongelea fika Wilaya ya Geita. Onana na Afisa Utamaduni, utapewa historia ya eneo nalo ongelea, si hilo lako unalolikazania.
 
Hujui kitu wewe, umeleta mada usiyoijua. Katika wilaya ya Geita na Nyag'hwale hakuna makaburi ya wamisionari wa CMS waliouawa na wananchi zaidi ya hayo ya kijiji cha Kabiga, ambako walilazimika kuondoka hapo na kwenda Kuanzisha misheni mpya Nassa. Mpaka leo pale Kabiga kanisa la AIC wamejenga zahanati pale kama ukumbusho wa mauaji hayo.
Wewe Unaelekea hii habari umeokoteza tu huna ufahamu wowote kuhusu hili.
Huwezi ukatuletea uongo wako hapa JF halafu tupo tunaojua tukakuacha hivi hivi. Kajipange uje na habari iliyokamilika.
 
Lekanaga nawe alieta kusaya nyayanda
 
Hawa nao ongelea si Kabiga. Na sijataja hilo eneo. Na hawa walioondoka hawakwenda Nasa, wao walikuja wakitaka kujenga chuo Kikuu. Hivyo hiyo habari yako ni topfauti na ninayo iongelea. Wewe ndo hujui kitu unavyodai hakuna makaburi Geita ya wazungu zaidi ya hayo. Kama unajua historia vizuri ya Geita umechemsha. Kuna makaburi zaidi ya hayo. Unachoongelea ni tofauti na ninachokiongelea na hawa walio uwawa si kwamba wate walikuwa wanahusika na dini hapana. Ndo maana nakushangaa unapoanza kulazimisha.
Pia tumia lugha ya sitaa swala la kusema sijui kitu wewe unajua. Uwe na adabu na staha. Lugha chafu nazijua pia usilazimishe eneo unaloliongelea liwe eneo nalo liongelea. Hivi unaelewa kuwa maeneo ya Bomani Geita kulikuwa na makaburi? Au unaongea tu unachodhani kwako ni sahihi na kwangu ni sahihi.
 
Pole sana. Umesema mwenyewe kwenye bandiko lako kwamba ni eneo kuelekea Msalala. Kwa taarifa yako hapo Kabiga ndipo walipotaka kujenga Makelele university. Mambo hayo yametokea mwaka 1885. Ukiniambia eti Geita Bomani kuna makaburi ya wazungu nakushangaa tu.
Ngoja nikuelimishe kidogo kwamba miaka hiyo ya 1880s hapakuwa na mji unaoitwa Geita. Machimbo ya kwanza ya dhahabu yalianza kuchimbwa Geita(GOLD EXPLONATIONS IN TANGANYIKA) miaka ya 1940s katika eneo la Mtakuja kuelekea milima ya Salagua wakati eneo lote la mji wa Geita hapakuwa mji pale na wilaya za sasa za Geita, Sengerema na Nyang'hwale zilikuwa sehemu ya Wilaya ya Mwanza Jimbo la Ziwa. Baada ya mgodi wa dhahabu kushamili na watu kuongezeka ndipo Wakoloni wa kiingereza mwaka 1949 wakajenga BOMA ( British Overseas Management) katika eneo la Kalangalala na kuanzisha wilaya mpya ya Geita iliyokatwa kutoka wilaya ya Mwanza. Na eneo hilo la Kalangalala kuanza kuitwa Geita Bomani ! Uko hapo ? Mgodi wa kwanza wa dhahabu wa Geita ulifungwa mwaka 1966 baada ya serikali ya Uingereza kuitambua serikali ya Ian Smith wa South Rhodesia ambao walikuwa wamiliki wa mgodi huo na mwalimu Nyerere kuvunja kwa muda uhusiano wa kibalozi na serikali hiyo.
Kwa hiyo hicho unachoongelea cha wamisionari wa CMS kuuawa huko Kabiga ni miaka ya 1880s wakati huo hapakuwa na mji wala wilaya inayoitwa Geita Bali kulikuwa na milima tu ya madini ya chuma ambayo Warongo(wenyeji wa asili wa Geita) walikuwa wanachukua madini ya chuma na kuyayesha na kutengeneza majembe, shoka na mishale ) na kwenda kuyauza usukumani.
Ndiyo maana nikasema kajipange upya maana hujui chochote kuhusu jambo hilo.
 
Nimekaa maeneo uliyoyasema, jamii hizi si masikini kama unavyosema. Ni wakulima wazuri, wafugaji na wafanya biashara. Kuna wasukuma wanafedha na wengine wanamigodi mikubwa tu ya dhahabu na almasi. Ila huwezi kuta msukuma anajisifia, au kujionesha kwamba ni tajiri. Hawa upenda maisha ya kawaida, japo wana hela.

Unakuta mtu ana ng'ombe wengi, ardhi kubwa ya kulima, wanakula vizuri, ndo maana miili ya kisukuma ni mikubwa, hivi wangekuwa masikini hiyo afya wangetoa wapi? Wengine ni tajiri wa biashara za samaki. Huo umasikini unao usema ni upi?
Mie nachoona kwa wasukuma uwa hawaachi mila zao za kuwa na nyumba za nyasi. Hata ukikuta kajenga nyumba ya bati nyasi lazima iwepo na hasa vijijini. katika nyumba hizo za nyasi ndiko wanakofanyia matambiko yao.
Mwanza, Kahama, Geita, Bariadi, Shinyanga, wasukuma wana fedha, lakini uwezi kuta hata siku moja mtu kaitwa Billionea, au kufahamika ana hela. Wasukuma ni wanyenyekevu, mpaka umchokoze ndo utajua ukorofi wao.
Basukuma tuli bhachangamfu
 
Pole sana. Umesema mwenyewe kwenye bandiko lako kwamba ni eneo kuelekea Msalala. Kwa taarifa yako hapo Kabiga ndipo walipotaka kujenga Makelele university. Mambo hayo yametokea mwaka 1885. Ukiniambia eti Geita Bomani kuna makaburi ya wazungu nakushangaa tu.
Ngoja nikuelimishe kidogo kwamba miaka hiyo ya 1880s hapakuwa na mji unaoitwa Geita. Machimbo ya kwanza ya dhahabu yalianza kuchimbwa Geita(GOLD EXPLONATIONS IN TANGANYIKA) miaka ya 1940s katika eneo la Mtakuja kuelekea milima ya Salagua wakati eneo lote la mji wa Geita hapakuwa mji pale na wilaya za sasa za Geita, Sengerema na Nyang'hwale zilikuwa sehemu ya Wilaya ya Mwanza Jimbo la Ziwa. Baada ya mgodi wa dhahabu kushamili na watu kuongezeka ndipo Wakoloni wa kiingereza mwaka 1949 wakajenga BOMA ( British Overseas Management) katika eneo la Kalangalala na kuanzisha wilaya mpya ya Geita iliyokatwa kutoka wilaya ya Mwanza. Na eneo hilo la Kalangalala kuanza kuitwa Geita Bomani ! Uko hapo ? Mgodi wa kwanza wa dhahabu wa Geita ulifungwa mwaka 1966 baada ya serikali ya Uingereza kuitambua serikali ya Ian Smith wa South Rhodesia ambao walikuwa wamiliki wa mgodi huo na mwalimu Nyerere kuvunja kwa muda uhusiano wa kibalozi na serikali hiyo.
Kwa hiyo hicho unachoongelea cha wamisionari wa CMS kuuawa huko Kabiga ni miaka ya 1880s wakati huo hapakuwa na mji wala wilaya inayoitwa Geita Bali kulikuwa na milima tu ya madini ya chuma ambayo Warongo(wenyeji wa asili wa Geita) walikuwa wanachukua madini ya chuma na kuyayesha na kutengeneza majembe, shoka na mishale ) na kwenda kuyauza usukumani.
Ndiyo maana nikasema kajipange upya maana hujui chochote kuhusu jambo hilo.
Out of point!
 
Huwezi mshinda shetani kama huna Mungu ndano yako.
Kupigwa chale ni kusajiliwa kuzimu,chale ni lazima itoke damu,ile damu inaenda kuzimu kama kiapo cha maagano ya mkataba Kati yako na shetani kupitia mganga ambae ni wakili wa shetani duniani.Chale ni muhuri au sahihi ya kuingia mkataba na majini yatende kazi kusudiwa.
Hujui matibabu ya chale wewe.

Huchanjwi chale ili utoke damu
 
Back
Top Bottom