BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,201
- 2,319
- Thread starter
-
- #41
Ha ha ha ha ha siku ukija kujua kuwa hata uchawi na ushirikina ni sayansi tena sayansi ya hali ya juu ndiyo utaamini hayaPorojo. Hakuna uthibitisho wa kisayansi zaidi ya soga za pauka pakawa . Tuwekeze kwenye tafiti za kisayansi sio mambo ya kufikirika.
Na haitatokea kamwe ukayajua yote ya Dunia hadi unaingia kaburini. Dunia Ina mambo mengi yenye kuonekana na yasiyoonekana kwa macho. Endelea kujifunza.Daaaaah kumbe bado cjaona mengi any way ahsantehkwa kutujuzaaa Kiongozii
Fanya utafiti halafu ulete mrejesho,, no research no right to speak😠😠Porojo. Hakuna uthibitisho wa kisayansi zaidi ya soga za pauka pakawa . Tuwekeze kwenye tafiti za kisayansi sio mambo ya kufikirika.
Najua upinde unasambaza USHOGA au kunamaana zaidi ya hiyo mkuu?Ha ha ha ha huo upinde sijatoa pesa ndugu ila una maana kubwa sn
10. Kioo kinaweza kukuonesha matukio yajayo, yaliyopo na yaliyopita kwa kunuia maneno.
11. Mwisho kabisa japo yapo mengi unaweza kumuita Mtu aliyekufa akatokea kwenye kioo na mkaongea naye ukamueleza shida zako akakuelekeza namna ya kufanya kutatua shida zako ila unatakiwa kuwa na ujasiri kwakuwa tukio hilo unatakiwa kulifanya usiku wa kuanzia saa sita kamili mpaka sa tisa hapo kati au sehemu ambayo imetulia sana hakuna kelele."
Maneno ya kunuia, ni maneno unayotamka mwenyewe kwa kinywa chako ima kwa sauti au kimoyomoyo ili kuomba unachotaka kitokee km unavyotaka.BANDOKITITA mimi nataka unielekeze hiyo namba 10 vizuri maana sina haja ya kutabiriwa na yeyote.Maneno ya kunuia sasa ndiyo yepi.
Na hii ndiyo husababisha vifo vingi vya ghafla, mfano kuumwa kichwa ghafla na kufa, kuumwa tumbo ghafla na kufa nk. Dunia hii ina mambo ya hovyo sn.Waganga wanatumia kioo kuona mtu mbaya au mbaya wako na wewe kumuona kwenye kioo,hii ipo sana kigoma
Ndiyo una maana kubwa sn ktk medali za nguvu za giza. Kwani hujawahi kuona mvua ikitaka kunyesha huo upinde ukijitokeza tu Kwisha habari yake. Hata km mawingu yalikuwa ya mvua ya mawe hutaona mvua abadani labda vimanyunyu tu kwa mbaaali. Na upinde huo huwa hauwezi kujitokeza pindi mvua inapokuwa ineanza kunyesha. Je hili ulilijua hapo kabla. Fanya research ulete mrejesho.Najua upinde unasambaza USHOGA au kunamaana zaidi ya hiyo mkuu?
Kwa hiyo nikiunguza mchanga soda na ash napata kioo, hakuna haja ya kununua tenao kimetengenezwa na Material asilia ya aina tatu yaani Mchanga, Soda ash na Limestone ambavyo huchanganywa na kuunguzwa na moto mkali ndipo hutokea Kioo!