Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,922
- 30,271
BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA NDUGUZE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Hizo picha zinaongea kuliko maneno.Dadavua mkuu! Nini kimekupata? Au kupiga picha na mwalimu ndo kupigania uhuru?
Zinaongea nini?Hizo picha zinaongea kuliko maneno.
Kwamba the Muslims had a great contribution than Christian huo ni uwongo.Hizo picha zinaongea kuliko maneno.
Soma kichwa cha habari.Zinaongea nini?
Hayo yote unasema wewe, sisi tunatazama picha.Kwamba the Muslims had a great contribution than Christian huo ni uwongo.
Sidhani kama upo sahihi kwenye mawazo yako na hakukua na haja ya kuingiza uislamu hapo.... Kumbuka uhuru nyerere alikua pwani alifanya mambo mengi na watu wa pwani ambapo dini yao ni uislamu ila hawakutanguliza itikadi zao za dini kwenye kupigania uhuru ndio maana wamechangamana wakristo waislamu hawakubaguana hiki kizazi cha much know kinakurupuka kuona picha ya kanzu basi wanawaza udini zaidi..... Unakariri vibaya sio kila muda FaizaFoxy anakua na mambo ya udini hii picha inaeleza mambo memgi sana huenda yeye aliangalia walivyokua na umoja akaona aandike vile.....Kwamba the Muslims had a great contribution than Christian huo ni uwongo.
Mkiambiwa Wazanaki ni Watu waliobarikiwa na Mwenyezi Mungu na wana Nguvu Maalum ya Kiutawala na Kimamlaka msiwe mnabisha sawa,?Nyerere mzeee wa calculation, Kuna mada ya Mshana Jr alikua anazungumzia picha katika ulimwengu wa roho, nikiangalia hapo Nyerere yupo tofauti na wenzake na kwel ni wa tofauti wenzake walifanya harakati nyingi kwa mda mrefu lkn yeye ndani ya miaka isiyozidi 7 alikamilisha kazi
Huyu Mzee alikua mbele ya wakati sanaMkiambiwa Wazanaki ni Watu waliobarikiwa na Mwenyezi Mungu na wana Nguvu Maalum ya Kiutawala na Kimamlaka msiwe mnabisha sawa,?
NotedMkiambiwa Wazanaki ni Watu waliobarikiwa na Mwenyezi Mungu na wana Nguvu Maalum ya Kiutawala na Kimamlaka msiwe mnabisha sawa,?
Capt.Hapo alikuwa pwani, yupo na wazee wa kipwani, alipokuja huku umasaini alizungukwa na wazee waliovaa rubega, na hata hutosikia mmasai akidai attention
Huko shamba nani alikuea na kamera?Capt.
Usichukulie vibaya.
Nakusanya picha mfano wa hizo tafadhali nipatie picha ya Mwalimu akiwa Umasaini kwenye matawi ya TANU.
Hotuba ya Nyerere na wazee wa dar 1988,'nilikua na waislam tu,Mara mojamoja(John) rupia alikua akija'...Kwamba the Muslims had a great contribution than Christian huo ni uwongo.
Masai aache chunga ng'ombe!!Hapo alikuwa pwani, yupo na wazee wa kipwani, alipokuja huku umasaini alizungukwa na wazee waliovaa rubega, na hata hutosikia mmasai akidai attention