Nguvu ya ushoga Israel: Baada ya Meya, sasa Waziri shoga maarufu ateuliwa

Point yangu ni kwamba Yesu kahubiri amani ila hajafundisha na jinsi ya kuilinda hiyo amani,leo hii mfano hapa Tz tunaishi kwa amani mara magaidi wanavamia na kuanza kuuwa watu,je Yesu anafundisha tufanyaje hapo katika hali kama hiyo?
 
Mbongo soma hii na hiki ndicho kinachotupa amani sisi Wakristo hatuhuzuniki wala hatuwi katika hali ya unyonge pale tunapokosewa, kutendewa ubaya wala chochote mwanadamu anakufa.

Ukiishi kwa Kristo wewe ni kiumbe mpya.
Peace I leave with you, my peace I give to you; not as the world gives do I give to you. Let not your hearts be troubled, Neither let it be afraid. - John 14:27
 
Nimekuiza hivi mfano leo magaidi wanavamia Tz na kuanza kuuwa watu,je mafundisho ya Yesu yanasemaje katika situation kama hiyo? Au ndio wakristo wanatakiwa kukaa tu na kusubiri kuuliwa wote?
 
Nimekuiza hivi mfano leo magaidi wanavamia Tz na kuanza kuuwa watu,je mafundisho ya Yesu yanasemaje katika situation kama hiyo? Au ndio wakristo wanatakiwa kukaa tu na kusubiri kuuliwa wote?
Maisha ya duniani si lolote si chochote, utukufu na uzima wa milele ametuandalia bwana wa majeshi hatun shaka juu ya hilo.

Watafanya wanalolitaka kwa mujibu wa imani yetu kazi yetu sisi ni kuwaombea maadui zetu kwa kuwa hawajui watakalo kuwa wakilitenda ni baya kiasi gani, watakumbana na hukumu siku ya mwisho pale parapanda kuu itakapolia.

Sisi tunafundishwa upendo tu na hakuna kingine na kwenye upendo kuna amani kuna furaha kuna baraka n.k
 
Na ndiyo maana nikasema kama tutaamua kufuata hayo mafundisho ya Yesu basi dunia patakuwa mahali pabaya kabisa kuishi,.maana kwa asili ya binaadamu lazima tu watakuwepo ambao watauwa wezao,watawadhulumu na mengine mengi tu.
 
Kuwepo na mashoga ni tatizo sehemu yoyote ile iwayo ulimwenguni hata kwenye tanzania yetu ila kuwepo kwa kiongozi shoga ni tatizo zaidi maana inaonesha kwa kiasi gani una ungana nao juu ya ushoga wao

#TaifaTeule
#
 
Unaona laana hiyo, hivi mwenye jukumu la kuhukumu ni Mungu au mwanadamu? Hapa sizungumzii secular courts

sasa kwanini mtu asiogope kujiunga na uislamu iwa hofu kama hizi?
kuna taratibu za kuwabadilisha hawa watu na ikishindikana waache watajijua wao
Mnaposema mwenye jukumu la hukumi ni Mungu Mnakosea sana Maana Bila hukumu hata Dunia Isingekua Mahala Salama Watu Wanahukumiwa Sababu Wanakosea Tukisema Tungoje Hukumu Ya Mungu Duniani Tutaipata Wapi ?!

Wacha wahukumiwe na Mungu Atahukumu Pia
 
Kuwepo na mashoga ni tatizo sehemu yoyote ile iwayo ulimwenguni hata kwenye tanzania yetu ila kuwepo kwa kiongozi shoga ni tatizo zaidi maana inaonesha kwa kiasi gani una ungana nao juu ya ushoga wao

#TaifaTeule
#
Hujui U.K na U.S. wanapokimbilia waislamu kuna viongozi, watangazaji, wana michezo n.k mashoga?
 
Mnaposema mwenye jukumu la hukumi ni Mungu Mnakosea sana Maana Bila hukumu hata Dunia Isingekua Mahala Salama Watu Wanahukumiwa Sababu Wanakosea Tukisema Tungoje Hukumu Ya Mungu Duniani Tutaipata Wapi ?!

Wacha wahukumiwe na Mungu Atahukumu Pia
Kuna mambo ya kibinadamu na ya kiungu (imani) huwezi kuhusisha mambo ya kibinadamu na ya kiroho hata siku moja.

Mzinzi hawezi kumuhukumu mzinzi kiimani bali mzinzi anahukumiwa na Mungu tu.

Na kumbuka kwa imani yetu (Christians) ni mwiko kuhukumu hiyo ni kazi ya Mungu.

Nakuuliza swali kisha unijibu Mimi nimezini Saudia nikakamatwa nikahukukiwa kwa sheria za kiislamu nikanyongwa Mungu ataenda kunihukumu kwa lipi au adhabu zinakuwa mara mbili?
 
Taifa la Mungu ahahahaaaah, hizi stori za sungura na fisi mtaacha lini !!!
 
Na ndiyo maana nikasema kama tutaamua kufuata hayo mafundisho ya Yesu basi dunia patakuwa mahali pabaya kabisa kuishi,.maana kwa asili ya binaadamu lazima tu watakuwepo ambao watauwa wezao,watawadhulumu na mengine mengi tu.

Kabla ya mafundisho ya Yesu dunia ilikua ni kama Jehanam .
Watu waliishi kama wanyama wa mwituni.

Uhuru na amani japo ni ya bandia unayoiona Leo haikuwepo.

Ulimwengu umeokolowa na Yesu Kristo.
Yesu alipanda mbegu safi ya wokovu duniani, alipoondoka Shetani na mawakala wake waliopo duniani waliona wazi kuwa hawataweza kushindana na nguvu ya Wakristo na ukristo wa kweli baada ya kujaribu kuwaua kila kukicha lakini wakawa wanaongezeka kwa maelfu.
Wakiuawa mamia wanaongezeka maelfu. Ikabidi Mawakala wa shetani wakati huo chini ya serikali ya Rumi wajifanye kuwa wamejiunga na ukristo na kumpokea Yesu Kristo ,huku wao wakibaki madarakani.
Wakafanikiwa kumwakilisha shetani duniani huku wakijiita wakristo.
Likatimia lile neno la Mkulima aliyepanda Ngano safi lakini usiku wa manane adui akaja akapanda magugu yanayofanana na ngano.
Walipotaka kuyangoa wakaona yanang'ooka na ngano halisi. Basi mwenye shamba akasema yaacheni magugu yamee na ngano mpaka siku ya mavuno ndipo yatakapotenganishwa.
(Wakulima wa ngano wanajua jinsi magugu yanayoota kwenye mashamba ya ngano yanavyofanana na ngano)

Ukristo ungekua dhaifu Wafalme wa Himaya kubwa yenye nguvu kama Rumi wasingejiunga nao na kuutumia kama kinga ya kujificha wafanye mambo yao.
 
Sheria za kadhwi zimewekwa ili kumuadabisha mtu.
Ndio maana dunia ina discipline.
Mfano Suudia mashoga wanachinjwa hii imefanya wengi wao kuuogopa ushoga na kuweka discipline.
Pigia mfano wauaji wangekuwa hawapewi kifungo cha maisha jela nchi ingekuaje.
Basi kwanzia leo ukiibiwa usiende police kufungua kesi maana unaingilia kaz ya Mungu
 
Kuna hukumu na kuna adhabu.
Mtu alokufa na dhambi hajatubu ile dhambi ndio ataenda kukutana na adhabu huko kwa Allah.
Ila Yule alohukumiwa uzinzi kwa kupigwa mawe dhambi yake ya uzinzi imefutika.
Na km hakuna mahakama ya kadhi bas anatakiwa kutubu ili aifute ile dhambi.
Kwahyo akifa ataenda kuadhibiwa kwa madhambi mengine sio tena ile alohukumiwa huku au alokwishaitubu.
 
Ila Yule alohukumiwa uzinzi kwa kupigwa mawe dhambi yake ya uzinzi imefutika.
Dah! Yaani akipigwa mawe mpaka afe anahesabika hana dhambi ya uzinzi tena? Na hao waliompiga hawana dhambi ya kuua?
 
Ila atleast hayo mataifa ulotaja Uislam unkuwa kwa kasi.
Lakini Israel uhasherati umezid
Eti unakuwa kwa kasi.

Kwa hiyo tukisema uislamu unakufa Tz kwa sababu kina Mwamposya, Gwajima na Suguye wanasilimisha watu itakuingia akilini?

Na je unawafahamu waislamu wa U.K pamoja na U.S asilimia 90% wana asili ya wapi?
 
Zurri ni kweli kiongozi haya yasemwayo na huyu mdogo wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…