Kuropoka hapa JF ni Bure. Ndio maana wewe unaropoka ovyo.Vipi kuhusu imamu shoga wa Kule Iran? Iran mashoga Ni wakutosha tu ipo siku nitawamimina hapa jamvini
Vipi kuhusu imamu shoga wa Kule Iran? Iran mashoga Ni wakutosha tu ipo siku nitawamimina hapa jamvini
VP kuhusu kaishoggi na kinachendelea Yemen nk
kuna uzi unazungumzia ushoga huko zanzibar mnaacha kuujadili mnakimbilia Israel watu ambao tuko nao mbali sana
Ongea kitu unachokijua, usichokijua nyamaza tu.Wewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.
Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani
Wewe ndio umezidiwa mahaba watanzania ushoga sio utamaduni wetu lakini tunaacha tatizo lililoko kwetu tunakimbilia kujadili tatizo la watu wengine Sasa happy nani ana mahaba wewe au MimiMahaba yamewazidi enyi wagalatia. Unaona fahari kumjadili ndugu yako mzanzibari ila israel asijadiliwe 😁😁😁 kwakuwa wazanzibar ni waislamu. Wakati ushoga umetapakaa kona zote za tanzania.
happy-furahaWewe ndio umezidiwa mahaba watanzania ushoga sio utamaduni wetu lakini tunaacha tatizo lililoko kwetu tunakimbilia kujadili tatizo la watu wengine Sasa happy nani ana mahaba wewe au Mimi
Hakuna andiko katika Bible zote Agano la kale na jipya linalohalalisha ushoga HAKUNA.Ongea kitu unachokijua, usichokijua nyamaza tu.
Israel ni taifa la udini na wanatumia dini kudhulumu waliowakuta, na wanatumia dini kuhalalisha matendo yao.
Wewe kama haikuumi kumuona mwanaume mwenzako akitolewa marinda sishangai mana ndio imani yako ilivokufundisha labda kuona icho kitu ni sawa tu
Wewe unaweza kuingilia au ukapinga sheria kandamizi za taifa huru kama Saudia?happy-furaha
Kwaio unafurahia ushoga kwenye taifa la MUNGU.?
Sasa kwani nchi ulizozitaja wewe zinatumia sheria za kidini ata useme ni religious state?Hakuna andiko katika Bible zote Agano la kale na jipya linalohalalisha ushoga HAKUNA.
umeniambia kama kuna vitu sivijui ni bora nikanyamaza hivi Israel ni religion state? Itatumia sheria gani za kidini kwa sababu uyahudi na Ukristo hauna Torati tena!
Kweli hatuwezi kuwa na uelewa sawa, na suala lako la kuwa kama muislam atapona, hilo lisikushulishe, sisi ukitupiga tunakupiga. Hilo swali ujiulize wewe mkristo unaegeuza shavu la kushota, utabaki ndani ya jewish state? watu waliomsulubu na kumkataa yesu!kuna kiongozi wa upinzani ambaye ana mpango wa kumtoa Netanyahu ndiye ana mpango wa kuifanya Israel kuwa nchi ya kidini (Kiyahudi)
sasa jiulize ikianza kuongozwa kiyahudi kuna muislamu atapona ndani ya Israel, na Palestine? Siku nyingine usidhani watu wote wana uelewa kama wako!
mimi sikazi videm vya mtaani. Sasa wewe unaejisifia uzinzi pole sana. Taifa la mungu haliwezi kuhalalisha ushoga na wewe ukakaa ukaona ni sawa eti haki ya faragha. Wewe mwanao wa kiume akipumuliwa unaona ni sawa? utaachia tu na kusema ni uamuzi wake binafsi? Tuambizane kama wewe ni miongoni mwa walioharibiwa kanisani! maana Mwanaume wa kweli hawezi kabisa kusema huo ni uamuzi wa binafsi bali anatakiwa akemee.Wewe hukazi videm vya mtaani uko bila ndoa? Ungekuwa Saudia, Iran n.k ungefanya hicho kitu? Hayo ni mambo binafsi ya mtu akiwa shoga ni yeye akiwa malaya ni yeye Tanzania tuna haki ya faragha.
hii inafikirisha. Torati ameshusha Mungu, sasa hivi unakiri kuwa uyahudi na ukiristo hauna maneno ya Mungu!Itatumia sheria gani za kidini kwa sababu uyahudi na Ukristo hauna Torati tena!
Sio "Kalilishwa" sahihi ni "Karirishwa".Ni taifa teule of course halina ubishi.
Alafu wakristo hatukalilishwi tunaelewa, Qur'an ndiyo inakalilishwa kwa sababu ya lugha
Huwa mnaongea mambo yasiyo na uhalisia,kama kweli tutaishi kwa kufuata biblia kama mnazosema basi tutaishi maisha ya ajabu sana maana watu hatukuwa na majeshi ya kujilinda wala sheria zozote hivyo watu watadhulumiwa haki zao na hakuna wa kuwasaidia.Jesus christ! toka lini Mungu muumba wa mbingu na ardhi akasaidiwa kuhukumu na kiumbe chake?
kwa sisi Wakristo Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuhukumu yani mimi Drip sitakiwi kuthubutu hata kukwambia wewe una dhambi ni kosa kubwa sana kuhukumu.
Binadamu yeyote anafanya makosa hili Kristo Yesu alilijua ndio maana akatuagiza tutendapo dhambi basi tutazame msalaba au tuganye sala ya toba nasi tutakuwa tumefungamanishwa nae kwa kuwa Mwili wa Kristo ni Kanisa.
Unaweza Kunielezea majukumu ya Mungu huko akhera (peponi) kwa mujibu wa imani yenu ni yapi sasa kwa sababu mnahukumu hukuhuku duniani yeye kazi yake hasa ni nini?
Kwaio upo sawa na Israel maana unawatetea sana.Mwisraeli mweusi mtanzania Siyo kwa kuwatetea uko inabidi ukemee umesikia wewe Mwisraeli Mweusi Mtanzania.?Wewe unaweza kuingilia au ukapinga sheria kandamizi za taifa huru kama Saudia?
Nina asili ya kiarabu kwa taarifa yakoKwaio upo sawa na Israel maana unawatetea sana.Mwisraeli mweusi mtanzania Siyo kwa kuwatetea uko inabidi ukemee umesikia wewe Mwisraeli Mweusi Mtanzania.?
Huijui Biblia ni bora unyamaze.Huwa mnaongea mambo yasiyo na uhalisia,kama kweli tutaishi kwa kufuata biblia kama mnazosema basi tutaishi maisha ya ajabu sana maana watu hatukuwa na majeshi ya kujilinda wala sheria zozote hivyo watu watadhulumiwa haki zao na hakuna wa kuwasaidia.
Niwie radhi kwa kukosea uandishi wa neno " Kariri".Sio "Kalilishwa" sahihi ni "Karirishwa".
Mngekuwa hamkaririshwi mngejua tofauti kati ya maneno ya Yesu na asie kuwa Yesu.