Nguvu ya ushoga Israel: Baada ya Meya, sasa Waziri shoga maarufu ateuliwa

Mtu yyt anaweza kuamua kuwa shoga na wengine isiwahusu wao lkn unapokuwa kiongozi tena ktk nchi ambayo inaaminiwa na wakristo kuwa ni taifa teule la Mungu basi mtu huyo lzm apigwe vita sana mpk aachie hio nafasi. La Sivyo kesho akitokea mchungaji Kanisani akiamua kuwa shoga hatutokuwa na haki ya kumkataa matokeo yake na watoto wetu pia watafuata huko huko.
Kutahamaki jamii inageuka kama ile ya SODOMA NA GOMORA.

Mtu akiamua aolewe na mwanamme mwenzake akafanye huko pembeni lkn asituongoze sisi wala watu ambao wanaamini kuwa Mungu aliumba ADAM NA EVE sio ADAM na STEVE

Ingekuwa ni waziri huko Ulaya wala watu wasingesema kitu .
Kanisa la kiingereza la Anglican limeruhusu hilo.
Hilo ni Taifa la israel lina mambo yake ya ndani sisi watu wamataifa hatuwezi kuingilia mambo yao.

alafu huwa hatujifunzi kutoka kwa wachungaji, wainjilisti au mashemasi tunajifunza kutokana na Biblia
 
Ni taifa teule of course halina ubishi.
Alafu wakristo hatukalilishwi tunaelewa, Qur'an ndiyo inakalilishwa kwa sababu ya lugha


Eti taifa teule 😁 wakat linanyanyasa wapalestina na kuwauwa, linanyanyasa watu weusi litakuwaje taifa teule kwa mfano!

Ukristo hawautambui 😁
Yesu wanamkana 😁

Hivi ninyi wamatumbi hamshituki tu!!! Poleni sana
 
Eti taifa teule 😁 wakat linanyanyasa wapalestina na kuwauwa, linanyanyasa watu weusi litakuwaje taifa teule kwa mfano!

Ukristo hawautambui 😁
Yesu wanamkana 😁

Hivi ninyi wamatumbi hamshituki tu!!! Poleni sana
Sijawahi kumsikia Mkristo yeyote akipasema Saudia kwa kuwauwa wananchi wake kwa adhabu kali kama kuwakata mapanga n.k

Kuwanyima uhuru wanawake na kuweka mfumo dume kupindukia kwa sababu ni mambo ya taifa husika hayatuhusu sisi kama wamalawi, wazambia au waTanzania.

Israel haiwauwi waPalestina ila inalinda usalama wake waPalestina wachache wa Gaza wanafanyaga vurugu unataka waachwe?

India kuna jimbo limekuwa occupied la Kashmir mbona hili hamlizungumzii kuwa waHindu wamelikalia na wanawatwanga kweli kweli waislamu kuliko hata Israel?
Je mnawaogopa wahindi?

Watu weusi wanaopata shida israel ni kweli wapo wengi wao ni waislamu huwezi kuamini na Wakristo wachache ambao walipewa muda maalumu wakukaa na wengi wao wapo kule toka 1997 hawana kazi rasmi.

Serikali inawakata kodi kubwa lengo lkiwa siku wakiamua kuondoka wanapewa yote kodi yao.
(Akufukuzaye akwambii toka)

Wayahudi wanamtambua Yesu katika Hebrew Bible anaitwa Yahweh sasa Google who's Yahweh kama hujafa na kiwewe.

Alafu usiwe muongo kwenye vitu serious Israel Wakristo wapo kama 5% sasa hautambuliki vipi?
 
Biblia inakataza na kulaani kabisa watu wa jinsia moja kupigana paipu.. Inakataza pia kujamiana na hayawani.. Inaagiza kwamba hayo ni machukizo makuu mbele za Mungu

Mambo ya Walawi 18:22
22 Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo
Wazee wa taifa teule wanachungulia na kusepa.
 
Kanisa la kiingereza la Anglican limeruhusu hilo.
Hilo ni Taifa la israel lina mambo yake ya ndani sisi watu wamataifa hatuwezi kuingilia mambo yao.

alafu huwa hatujifunzi kutoka kwa wachungaji, wainjilisti au mashemasi tunajifunza kutokana na Biblia
Lini? Kanisa limeruhusu kweli au kiongozi wa kanisa aliulizwa na hakuonyesha kulikataa hilo?
 
Kule Tanganyika hata madawati tu ya wanafunzi hayapo lakini umesharukia habari za Israel tena kuhusu maisha binafsi ya mtu!
 
Lini? Kanisa limeruhusu kweli au kiongozi wa kanisa aliulizwa na hakuonyesha kulikataa hilo?
Anglican imeruhusu ndoa za jinsia moja nadhani uko nyuma sana kihabari.

Ila la Tanzania bado halijafanya huo upuuzi, waasisi wenyewe waingereza wameshafungisha ndoa kadhaa
 
Wewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.

Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani
Ila ni taifa teule la Mungu ??
 
Unaona laana hiyo, hivi mwenye jukumu la kuhukumu ni Mungu au mwanadamu? Hapa sizungumzii secular courts

sasa kwanini mtu asiogope kujiunga na uislamu iwa hofu kama hizi?
kuna taratibu za kuwabadilisha hawa watu na ikishindikana waache watajijua wao
Mwenyezi Mungu ametoa sharia/muongozo wa maisha ya mwana adaam.kwahiyo wairan wanatekeleza hukumu kwa niaba ya Allah Subhana!!
 
Mwenyezi Mungu ametoa sharia/muongozo wa maisha ya mwana adaam.kwahiyo wairan wanatekeleza hukumu kwa niaba ya Allah Subhana!!
Jesus christ! toka lini Mungu muumba wa mbingu na ardhi akasaidiwa kuhukumu na kiumbe chake?

kwa sisi Wakristo Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuhukumu yani mimi Drip sitakiwi kuthubutu hata kukwambia wewe una dhambi ni kosa kubwa sana kuhukumu.

Binadamu yeyote anafanya makosa hili Kristo Yesu alilijua ndio maana akatuagiza tutendapo dhambi basi tutazame msalaba au tuganye sala ya toba nasi tutakuwa tumefungamanishwa nae kwa kuwa Mwili wa Kristo ni Kanisa.

Unaweza Kunielezea majukumu ya Mungu huko akhera (peponi) kwa mujibu wa imani yenu ni yapi sasa kwa sababu mnahukumu hukuhuku duniani yeye kazi yake hasa ni nini?
 
Ni upumbavu wa kiwango cha ardhi na mbingu kuamini Israel ni taifa teule au nchi yoyote ile. Ni upumbafu tuliokaririshwa maafrika.
Kuna wajinga wengi sana ambao hawasomi hata takwimu............wanakwambia Israel taifa la mungu huku Colombia yenye 99% ya ukristo hawataki hata kuisikia
Screenshot_20190607-213624.jpeg
 
Back
Top Bottom