Nguvu ya Umma?

Nguvu ya Umma?

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Kwa kawaida mtu akiadhibiwa kwa kosa alilotenda halipi kisasi, kudhihirisha hilo tunaona mahakimu hawana matatizo na jamii. isipokuwa mtu akiadhibiwa kwa kuonewa hata kama ni mnyonge anaweza kulikung'uta jibaba mpaka ukashangaa.


mama wa kihindi.jpg
 
Hahaha. . . sijawahi kuchoka kutazama hii picha. Hivyo ndo walitakiwa kufanyiwa wanamgambo wetu wakiwaletea wamama za kuleta kwenye biashara zao.
 
Nini kilichokufanya useme hilo ni "jibaba" mimi naona kama mwanamke.
 
Hii picha ilifaa ibandikwe barabarani kama yalivyo matangazo ya mitandao ya simu kusudi mama zetu pindi waonewapo na wagambo wakiiangalia iwape ujasiri
 
Kumbe roba(kabali) ya mbao sio ya kitanzania zaidi tumetooha nayo
 
Nimezipenda wamejitoa kuwa teyari kwa vyovyote
 
Back
Top Bottom