Nguvu ya umma yamtisha Kikwete

Kuna bomba moja la maji taka linatokea usawa wa Ofisi ya Mkemia Mkuu na Ikulu kuingia baharini. Tutaanza kumtafutia humo!

Hahahahaaaaaaaa............kwa hali ilivyo sasa usikute jamaa anaandaaa makao yake yakudumu mashariki ya mbali teheteheteheteeeeee
 
atakimbia sana aisee
 
Tutamshitaki kama rais wa israel amehukumiwa juzi tu.tunataka katiba yenye democrasia kama ya israel.sio ya kifisadi na polisi wao.tutawatoa polisi wote waliokuwa mstari wa mbele kutuata amri za fisadi
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa nimeona ukimya wa dr. slaa maana yake ni nini, Arusha msikate tamaa nchi imesha tikisika. Hata ridhiwani sanatembea na walinzi na msafara wa kisirisiri kama baba yake.

Hivi vile vikosi vya nato libya si vinge endeleza ukombozi huku. Mbona wa tz wanashida kuliko wa libya, bora gadafi kuliko M kwere
 
Mmmh mada nyingine! Mapinduzi Tanzania bado saaana. Unajua tatizo CDM mnaona wahuni na machinga mijini wakiwashangilia ndo mnadhani mmefanikiwa. Ukweli ni kuwa KURA zipo vijijini! Jijengeni huko. La sivyo 2015 mtalalamika tena!
Siasa za bongo uchwara kweli kweli ndo maana mie naona bora CCM.
 
yeah this is Gud ajue Unafiki una mwisho wake ye si anawakumbatia Mafisadi na kufumbia macho viongozi waovu, an then akija kwa Wananchi analalama. hii ni kumuonyesha Wananchi wamechoka na Ulegelege wake aamue moja kuwa wamoto au baridi katika kipindi chake cha Lala salama otherwise aisitie Mguu A-town ever
 
analo yaani ashaanza kuishi kama mtumwa ndani ya nchi yake?

Kwa kujifariji tu; hamjambo!!!! Kwa Arusha gani? Hii hii ambayo mkimwagiwa maji ya kuwasha tu mnaingia mitini au kuna Arusha nyingine?!!
 
Usiku wa kuamkia leo nimeota eti naendesha rocket!!!
 
sasa fikiria mwenyewe, Mbeya japo kamuweka Kandoro pale nina uhakika akitia mguu hali yaweza kuwa mbaya zaidi ya hata Arusha. Mwanza, Shinyanga, Kigoma! Na bado uelewa wa wananchi wa kawaida unaenelea kuongezaka kila kukicha na kuelewa jk ni kiongozi wa aina gani.
Hawa watu wa usalama wa taifa n ao wanazidi kumpotosha kabisa. Hivi karibuni lilikuja wazo la 'POLISI JAMII' baada ya kuona hali halisi ya ulinzi ilivyoadvance lakini sasa mapolisi wanazidi kuvuruga hii strategy kwa kuongeza uadui wa polisi (kama akina Kova, Arusha na kwingineko) na raia!
SASA NAULIZA HIVIIII..........Hii hali ya Arusha ikisambaa nchi nzima atakimbilia wapi?
 
Hivi hichi cheo cha makamu wa rais kina umuhimu gani kwenye nchi hii, kama sio ku misuse resources za wananchi,.

Ni matokeo ya mifumo mibovu ya utawala. Nchi ndogo viongozi lukuki wasio na tija. Mbaya zaidi hakuna aliye tayari kutazama upya mifumo hiyo ili kuirekebisha.
 
aje kufanya nini wakati nchi imemshinda
Kila siku ni "tumewaomba wahisani watusaidie katika hili.........", yeye kachemsha ndo maana kila siku anachoma kodi zetu
kwenda nchi zingine kuomba kana kwamba wale nao hawana matatizo
 

vijiji vipi unaotaka cdm ijijenge kama igunga,maswa,meatu..nikuhakikishietu cdm inachopaswa kufanya kuwaelimisha wananchi namna ya kulinda kura
 
hHawa wababe wakiafrika bana wanachekesha kweli, baadaye unamkuta mahali ambapo katika maisha yake hajawahi kuingia kama kjificha kwenye daraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…