Nguvu ya mwanamke

Asante atoto kwa kutukumbusha nami nitalishika hili.
Mana nakumbuka na mimi nikiwa sina amani na baby nae anakosa amani.
[emoji120][emoji120]
 
Hii inahuzunisha sana! Mungu atusaidie wanawake kusimama katika nafasi zetu kama Mungu alivyokusudia! Pia tunapofanya maombi/ ibada tukumbuke kuomba rehema kwa ajili ya wanawake wenzetu ili Mungu atusamehe na kuturudusha ktk makusudi yake.
 
AMINA.
 
Huyo mwanaume alikuwa nyoronyoro sana, siwezi kupelekeshwa kibwege namna hiyo na mwanamke.
nitamtelekeza hata nikaanzishe boma lingine potelea karibu.
 
Huyo mwanaume alikuwa nyoronyoro sana, siwezi kupelekeshwa kibwege namna hiyo na mwanamke.
nitamtelekeza hata nikaanzishe boma lingine potelea karibu.
Tema mate chini!!! Omba yasikukute!!
 
Ilani' ukianza kumruhusu mkeo mara vikoba mara vikundi vya kina mama kitchen party ujue unatengeneza bomu siku moja litakulipukia mwenyewe! Ila naongelea wale wepesi wa kushawishiwa ambao ndio wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…