Nguvu ya msamaha katika mahusiano/mapenzi

Miss Kim si wewe tu unayeshangaa hata mimi mwenyewe huwa najiuliza maswali mengi sipati jibu nabaki naduwaa,na huko kazini kwake ana kibali si cha kawaida,miezi michache tu amejulikana kupita maelezo na anapendwa na kila mtu, siku moja aliniomba nimtembelee kazini kwake siyo siri nilishangaa mno kwajinsi mdada alivyokubalika na kila mtu.
 
Last edited by a moderator:
jamani sijui kama nitaweza kuja kumsamehe my X kwa moyo mmoja kabisa???? cjui aisee najitahidi sana bt najikuta nafikilia aliyonitendea najikuta hasira inaongezeka x100 mungu anisaidie kwa hili.

Pole sana lady in action,usimbebe mtu moyoni mwako,samehe kabisa,ondoa kinyongo,utashangaa jinsi utavyokuwa mwenye amani,hakika Mungu akusaidie katika hili,hakua kosa lisilosameheka,mimi huna mstari mmoja kwenye Bible unasema "Hasira hukaa kifuani pa mpumbavu" basi kila nikiukumbuka huo mstari hana niwe nimekosewa vipi hujikuta natangaza msamaha mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Baba alinitelekeza ht primary sch sijaanza! Nimepitia magumu sn mpk kufika iaa na udsm, thanx God! Namiliki kibanda mbz, mke, watoto wwl! Na this year nimekuwa promoted to Hod. Silipi kisasi, ila nafanya yng kivyangu vyangu.
Sijamsamehe!
 
jamani sijui kama nitaweza kuja kumsamehe my X kwa moyo mmoja kabisa???? cjui aisee najitahidi sana bt najikuta nafikilia aliyonitendea najikuta hasira inaongezeka x100 mungu anisaidie kwa hili.

Mi sielewagi kama nimemsamehe au i'm just having unfinished bussiness,
 
Baba alinitelekeza ht primary sch sijaanza! Nimepitia magumu sn mpk kufika iaa na udsm, thanx God! Namiliki kibanda mbz, mke, watoto wwl! Na this year nimekuwa promoted to Hod. Silipi kisasi, ila nafanya yng kivyangu vyangu.
Sijamsamehe!

Pole sana kwa uliyoyapitia,BTW hongera sana kwa kuwa promoted,but pamoja na kubarikiwa huko Tangaza msamaha,labda ziko baraka nyingi zaidi ya hizi ulizonazo.....pamoja na yote msamaha ni kitu muhimu. Usimbebe baba yako moyoni mwako.
 
everlenk

kusamehe ni kugusa moyo wa Mungu, watanzania tukijua hilo wote nasema wote tutakuwa na furaha kama aliyonayo dada huyo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…